Huyu anatoa rushwa tena kubwa snTofautisha kati ya rushwa na sadaka. Wanaotoa sadaka siku zote huwa hawajitangazi.
Anatumia mali za umma kutoa rushwaHuyu ni Lowassa kasoro jinsia
Upo sahihi sn mkuuHuyu hakufaa kabisa hiyo nafasi.Anatapanya hovyo Mali za umma wakati kunachangamoto nyingi sana za kijamii ambazo zinahitaji kutatuliwa.
Ongeza mamilioni ya goli la mamaHuyu hakufaa kabisa hiyo nafasi.Anatapanya hovyo Mali za umma wakati kunachangamoto nyingi sana za kijamii ambazo zinahitaji kutatuliwa.
Hizi sadaka hazina baraka wala kibali mbele za macho ya Mungu.. Sadaka/zaka ni tendo la kiimani na la siri sana ndio maana unapotoa hata mkono wako wa kushoto hautakiwi kujua1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
HATA ATOE VIPI ...ALIYE LAANIKA AMEKWISHA KULAANIKA TU ...HAPO.MWENYEWE USIKUTE ANAJARIBU KUJITAKASA NA LAANA ALIYO NAYO KWA KUTOA HIVYO VIPESA....1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Kwani yeye wa kwanza kuwa rais hatukuona kwa marais wengine wakigawa mamilioni kiasi hiki.Ni wajibu wa serekali kuzisaidia taasisi za kijamii /kidini pale inapohitajika kufanya hivyo!
Ungeweka na tarehe ingependeza zaidi tuweke kumbukumbu vizuri kwa vizazi vijavyo.1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Kakudanganya nani kuwa hizo pesa ni sadaka!?..Rupia inapenyezwa ili kuzinasa kura za hao viongozi na misukule yao a.k.a waumini.1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Ungeweka na tarehe ingependeza zaidi tuweke kumbukumbu vizuri kwa vizazi vijavyo.
Neno hili limfikie Askofu Shoo na Mwamposa (Tapeli mkuu wa nchi)Kakudanganya nani kuwa hizo pesa ni sadaka!?..Rupia inapenyezwa ili kuzinasa kura za hao viongozi na misukule yao a.k.a waumini.
Piki piki nne za CCM Kila Kata Tanzania!!1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa