Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo anaogopa kutoa misikitini kwa sababu watu watasema, basi hajiamini au kuna sababu iliyojificha kwenye misaada hiyo.Angetoa misikitini wangesema ni mzanzibar anatoa kwa sababu ni muislamu lakini hapa kimya mmmm zao!
Zamani ipi juzi kanisa lilimwambia NO kwenye ishu ya kuuza bandari.Hilo lilikua la zamani sio la sasa hivi.
Kuna kijiji huko mpwapwa, hawana huduma yoyote ya kijamii hata zahanati hawana, wanawake kujifungulia nyumbani ni kawaida, umeme hawana kule, shule ni changamoto, maji hawana kabisa, huko monduli wananchi wanakunywa maji yaliyotumika yaani dimbwi, na hilo dimbwi linalindwa usiku ili wanyama wasije wakamaliza ikawa tabu zaidi, hiyo mifano miwili tu. Halafu mnasema mama anaupiga mwingi1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Kwa hiyo namba zingine ni za kweli? Kamata hiyo ukitaka na link tutakuwekea.Hii habari haina ukweli hiyo # 15 inatia shaka.
Watu wenyewe ndiyo wewe!Kwa hiyo anaogopa kutoa misikitini kwa sababu watu watasema, basi hajiamini au kuna sababu iliyojificha kwenye misaada hiyo.
Badaye wakafanye je, siwalisalitiana.Zamani ipi juzi kanisa lilimwambia NO kwenye ishu ya kuuza bandari.
Obviously, they are printing money!1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Angalau walisema mzigo wa utekelezaji unabaki kwa aliyeambiwa.Badaye wakafanye je, siwalisalitiana.
Hizo ni show off.1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Hasa kwa sababu kwenye hayo mamilioni anayogawa kuna kodi yangu ndani, labda kama anatoa kwenye mfuko wake.Watu wenyewe ndiyo wewe!
Tuliosoma Cuba nadhani tumeelewana1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Inawezekana lengo la Samia ni kuwawezesha manabii kina Mwamposa ili waweze kuwaombea waumini wapone bila kuhitaji zahanati. ,😆😆😆😆😆Kuna kijiji huko mpwapwa, hawana huduma yoyote ya kijamii hata zahanati hawana, wanawake kujifungulia nyumbani ni kawaida, umeme hawana kule, shule ni changamoto, maji hawana kabisa, huko monduli wananchi wanakunywa maji yaliyotumika yaani dimbwi, na hilo dimbwi linalindwa usiku ili wanyama wasije wakamaliza ikawa tabu zaidi, hiyo mifano miwili tu. Halafu mnasema mama anaupiga mwingi
si wangeweka kambi mloganzila, Amana, Muhimbili kuombea watu wapone ili serikal isitumie pesa nyingi kuwekeza kwenye eneo la matibabu?Inawezekana lengo la Samia ni kuwawezesha manabii kina Mwamposa ili waweze kuwaombea waumini wapone bila kuhitaji zahanati. ,😆😆😆😆😆
Nenda mahakamani!Hasa kwa sababu kwenye hayo mamilioni anayogawa kuna kodi yangu ndani, labda kama anatoa kwenye mfuko wake.