Jinsi Rais Samia anavyotoa mamilioni ya sadaka kwa Makanisa

1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa

2. Milioni 150 kwa KKKT Hai

3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.

4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.

5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.

6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.

7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.

8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM

9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida

10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.

11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga

12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.

13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.

14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.

15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.

16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma

17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi

18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).

19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.

“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”

Mbona hizi Hela za Waarabu zinapelekwa Makanisani tu ..... Au Misikitini wao wanapelekewa directo!!?
 
Kwa nini wachunga kondoo wa Mungu wanakubali haya au yamesahau habari ya shekeli za Yuda Eiskarote[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Hapo sasa. Hii kwa kweli siyo michango bali ni HONGO.

Maza hana hiyo hela yote ya kugawa kila kanisa .... Hii LEGACY ya Magufuli ya kugawagawa pesa hovyo hovyo italisumbua Taifa kwa mda mrefu sana.
 
Sisi wenye akili tunajua hiyo ni Rushwa ya uchaguzi!

Hata hivyo tuache kazi iendelee hivyo hivyo kama ilivyo!
 
1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa

2. Milioni 150 kwa KKKT Hai

3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.

4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.

5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.

6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.

7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.

8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM

9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida

10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.

11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga

12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.

13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.

14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.

15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.

16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma

17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi

18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).

19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.

“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Jumlisha 635M + 850M + X ( Mwamposa). Ongezea na magoli, Ongezea na Tour za wasaniii, Ongezea Sherehe za Kisiwa X, Ongezea na Zile nasikia sijui mtoto wa nan anakula nn.

Harafu unasema Nchi Maskini au akili zetu hazina vipaumbele?
Kipaumbele ni Kushinda Vita binafsi na ku maintain madaraka na Maisha mazuri ? Au ni kwenda Mbele kama Nchi.
 
1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa

2. Milioni 150 kwa KKKT Hai

3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.

4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.

5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.

6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.

7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.

8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM

9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida

10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.

11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga

12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.

13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.

14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.

15. Millioni 50 Kanisa la KKKT Mennonite DSM.

16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma

17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi

18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).

19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.

“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Wajukuu wa wajuu zetu lazima watafukua makaburi yetu kuangalia tulikwa binadamu wa aina gani. Imagine unagawa hela zote hilzo kwa makanisa ambayo tayari yanajiendesha vizuri kwa michango ya waumini wake huku upande mwingine hadi vyoo mashuleni unasaidiwa na wahisani.
 
Kwa hiyo namba zingine ni za kweli? Kamata hiyo ukitaka na link tutakuwekea.

RAIS MHE. DKT. SAMIA ACHANGIA MILIONI 50 KANISA LA MENNONITE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akitoa hotuba kwa niaba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Elimu Mkamba cha Kanisa la Mennonite Tanzania, Jijini Dar es salaam.

waziri-na-askofu-1024x683.jpg
Hapo inaeleweka kwenye post umeandika KKKT Mennonite kitu ambacho sidhani kama kipo.
 
Back
Top Bottom