Watu tunapoteza lengo hapa.Tuwekee na Misikitini mkuu maana huko hazitangazwi ni kimya kimya. Anza na ile Range Rover ya Mufti wa Jamhuri ya Arusha
Kwani kusudio la hii ni nini. Huko hata asipotoa chochote kwa sasa hivi, ataeleweka, na hatapoteza chochote. Hivi watu hamuoni picha pana inayotengenezwa hapa? Tunawekwa rasmi kwenye makundi. Ni wazi sasa hivi CCM ni mali ya kundi moja.