Watu tunapoteza lengo hapa.Tuwekee na Misikitini mkuu maana huko hazitangazwi ni kimya kimya. Anza na ile Range Rover ya Mufti wa Jamhuri ya Arusha
Sina shaka yoyote na kunako patikana pesa hiyo; na sijui kwa nini watu wawe na mashaka juu yake. Tatizo la huyu ni kuwa hana simile; hana akili ya kufikiri jinsi atakavyo dhaniwa kwa matendo yake haya.Mkuu, walisema Lowassa alikuwa na uchu wa madaraka lakini huyu mama ni namba nyingine. Naona ni fedha za waarabu hizi. Wanaogopa asije kutolewa 2025 wakati wanataka kuendelea kuchuma.
Watu wenye info za ndani wanasema kichwa chake siyo smart hata kidogo. Yaani ni kuwa alikuwa amewekwa pale kwenye umakamu kama msindikizaji tu. Na mbaya zaidi watu walimzunguka sasa hivi wengi wana akili kama zake. Yule jamaa mvaa mapete na Abdul na watu wa aina hiyo ndiyo think tank yake.Sina shaka yoyote na kunako patikana pesa hiyo; na sijui kwa nini watu wawe na mashaka juu yake. Tatizo la huyu ni kuwa hana simile; hana akili ya kufikiri jinsi atakavyo dhaniwa kwa matendo yake haya.
Hili linanishangaza sana juu yake.
Hiyo orodha siyo kamili.kiasi chote bila kujumlisha "X" ni Shilingi 1,485,000,000.
Umesahau Gari la M 100 kwa Sheikh wa Arusha. Yaani ni rushwa mwanzo mwisho1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Punguzeni jazba, mama hajatoa sadaka katoa msaada. Tàtizo liko wapi?Hizi sadaka hazina baraka wala kibali mbele za macho ya Mungu.. Sadaka/zaka ni tendo la kiimani na la siri sana ndio maana unapotoa hata mkono wako wa kushoto hautakiwi kujua
Pili sadaka ni utayari wa kutoa vile vyote ulivyo navyo na si sifa za kutoa mamilioni ndio maana yule mama mjane aliyetoa shekeli moja tu aliyokuwa nayo alibarikiwa kuliko wote wakiwemo mafarisayo, masadukayo na watoza ushuru
Sadaka yako yaweza kukuletea laana ama baraka kulingana na malengo yako ya utoaji na matendo yako kiroho
Acha utani , mkuu. Usione ajabu hao ndio wakawa ma'think tank' wa haya tunayo yashuhudia.Hiii asiione Mohamed Said & FaizaFoxy
Hahaha duh1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha.
6. Milioni 100 kwa Kanisa Katoliki Babati.
7. Milioni “X” kwa Kanisa la Mwamposa.
8. Milioni 100 kwa Kanisa la AICT - DSM
9. Milioni 50 Kanisa la Wasabato Singida
10. Milioni 10 Kanisa Pentekoste Jimbo la Mashariki.
11. Milioni 5 Kanisa KKKT Mafinga
12. Millioni 50 Kanisa KKKT Dayosisi ya Tanganyika.
13. Millioni 30 Kanisa la Anglikana Kagera.
14. Millioni 50 Kanisa la KKKT Dodoma.
15. Millioni 50 Kanisa la Mennonite DSM.
16. Millioni 30 Kanisa Katoliki Musoma
17. Millioni 40 Kanisa Katoliki Mufindi
18. Millioni 100 Kanisa Katoliki Zanzibar (via Mwinyi).
19. Milioni 500 na kiwanja Kanisa Katoliki Arusha.
“Pongezi sana mama, watu wasiokuwa na macho ya roho hawawezi kukuelewa.”
Mkuu,1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa