Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

Ighughuyi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
306
Reaction score
666
Rwanda ni nchi flan yenye ukubwa wa km za mraba zisizopungua 26330 hivi.. ikiwa na idadi ya watu wasiopungua million 10.. huku mji mkuu ukiwa ni Kigali wenye idadi ya watu kama million 1,288,000 ..miji mingine ya kutegemewa ni GISENYI, Wwenye idadi ya watu laki nane na ushee hivi...Pato ghafi ni dollar za kimarekani ni takriban billion 12 na million mia kadhaa. Huku Pato la kila mwananchi ni takriban dollar 909 na sent kadhaa... Rwanda wanategemea kilimo Cha chai na kahawa.

Japo Kwa Sasa wanajitahidi kulima maharage na mahindi pamoja na ndizi, biashara inayostawi na wanaojidai nayo ni biashara ya maziwa, na mnyrwanda humdanganyi kuhusu ubora wa maziwa.. wao huwa wanayaweka kwenye ukucha maziwa freshi yakisambaa tu kwenye ukucha anakuambia hamna KITU hapo ni maji tu...

Wana refineries kdhaa za kuchenjua dhahabu japo Wana kias au deposit ndogo sana ya dhahabu. Dhahabu nyingi inatoka mashariki mwa Kongo mahalo penye vurugu ila sijui kama wanaipata Kwa uhalali !!!!!! Kwa ufupi story za RWANDA NI PROPAGANDA, SIKU AKIFA MAGLASS WATATESEKA SANA
 
Back
Top Bottom