Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

Unashindwa kushangaza vijiji vya Tanzania unaenda kushangaa vijiji vya Rwanda?. Vijiji vya Tanzania hujaviona?
Tz nimetembea sana...VIJIJI Bora kabisa kuanzia VIJIJI mnavyofugia ng'ombe ZENU mpaka misenyi kule unyambo na uhangazani..nenda kule mbeya vijiji vya ntokela . Mwakaleli ,tunakolima viazi , USangu na ubaruku tunakolima mpunga, ilongero na kititimo tunakolima vitunguuu
 

Unaelewa maana ya vijiji? Vijiji vya Rwanda vipo vizuri na vimepangiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…