Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Kwako mama Samia,
Inasikitisha kuona wizi wa mafuta bado upo tena sasa ni unaendelea kuwadhulumu wafanyabiashara wa mafuta wanaotumia Kurasini Oil Jetty yaani baada ya kusomeka katika flowmeter mafuta yananyonywa na wanaonunua wanabaki wakipata mafuta pungufu. Hii si sawa!!
Nashauri bomba lote liwekwe leakage detection system yaani hata yakishasomwa na meter yaendelee kuwa controlled mpaka yanapoingia kwenye malori au treni.
Hii itaongeza imani ya Wanaofanya biashara nasi bandari ya Dar es Salaam yaani nchi za DRC, Burundi, Rwanda, Zambia, Malawi na nyinginezo. Chondechonde usilifumbie macho hili swala litaleta madhara makubwa pale nchi za Jirani zitakapoacha kutumia Bandari yetu.