Hebu wacha kuargue kibwege aisee, mleta Uzi kaandika vizuri na mada yake Hiko very clear hebu tufike mahalo hizi timu zishinde kwa uwezo si kwa mbeleko Kama Hilo la leo.Bora ya simba imefanyika usiku na tunaweza sema giza lilimchanganya refa, maana upande aliosimama refa alikua anazi face spot light kwa hiyo hata ungekuwa wewe ilikua ni ngumu kuona pale
Ni ukweli inaboa unajituma kupambana halafu mtu mwingine kwa makosa yake ya kutomakinika anakataa goli la waziHakuna kuassume yaan ni kupitia games zote zenye utata hata kama Yanga atapoteza zote sawa tu kikubwa akili iwakae.Watu wanacheka kwa kuridhika wenzao wanakaza afu refa anafanya yake.Geita watakuwa wameumia sana.
si na uzi wake ulikuwepo tayari una Week kabisa.Huko ndio tatizo liliko anzia
Nisamehe kwa kuargue kibwege, hilo pia ni kosa la kibinadamu mkuuHebu wacha kuargue kibwege aisee, mleta Uzi kaandika vizuri na mada yake Hiko very clear hebu tufike mahalo hizi timu zishinde kwa uwezo si kwa mbeleko Kama Hilo la leo.
Gundu ilianzia palesi na uzi wake ulikuwepo tayari una Week kabisa.
Hakuna namna Rose muhando kafanya yake remix na mudi.
Naskia wamekuweka uwe rapper umeingiza vocal?
Hilo liko wazi, ukiweka mtazamo wako Kigoligoli, kamwe huwez ona madhambi alocheza yule Jamaa.Umeona sasa
Kumbe nawewe uliona kama mimi, na refa aliona hivyo hivyo
Pale ilitakiwa hata kadi itoke, ni huruma tu za refa
Kaangalie marudiio pale, na elekeza macho yako kwa umakini, kabla wote wawili hawajaruka juu, .mikono ya Mchezaji wa GG..ilimpush Kapombe.Macho yako labda yalikuwa na makengeza au ulilewa balimi..
Mechi ya mchongo full stop
Refa alitafsiri ni faulo baada ya kapombe kuanguka, sio offsideHilo liko wazi, ukiweka mtazamo wako Kigoligoli, kamwe huwez ona madhambi alocheza yule Jamaa.
Jamaa alimpush kwenda mbele, ,kiasi kwamba akamtoa Kapombe kwa balanc , kapombe anaruka juu ,kwakua keshatolewa kwa rel, haufikii Mpira, nasababu hiyo hiyo ndio inafanya Kapombe Aanguke chini !!!.
Wee unadhan kwann Kapombe alianguka?? Ili hali wote wameruka ??.
TFF wanaweza kumuonea Sanya , kwa kelele za mitandaoni.
Ila kama yeye alitafasiri ni UOTEAJI..hapo panashida.
Basi Refa yuko sahihi, na ukiwa makini UTAONA ,hata ukirejea video za marudio utaona.Refa alitafsiri ni faulo baada ya kapombe kuanguka, sio offside
🤣🤣🤣🤣Tatizo la simba wanaambiwa waachane na vizee hawataki.
Kamtu kamechoka hata kuruka kupiga kichwa kameshindwa kilichobaki ni mbeleko..
Naomba sanya atuweke wazi either alitafsiri jamaa alisukumiza au offside?
Ili tujue tu pia amelipwa bei gani
Soon nitaungana na wwBinafsi nina mpango wa ku-pause kuangalia ligi ya bongo, mpaka hapo hali ya marefarii itakapokuwa nzuri
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
You are a living IDIOTMkuu ebu leo tujikite kuzungumzia ile penalty iliyosababishwa na feisal halafu na ile penalty iiliyopata faida yanga baada ya kushika mayele
Sawa bwana solomon tumekua tukisoma habari zako tangu na tangu na zote zikionesha wewe ulipendelewa na Mungu kwa kukupa hekima kuliko wengineYou are a living IDIOT
Wewe nae unakuaga mbishi hata vitu vipo waziBora ya simba imefanyika usiku na tunaweza sema giza lilimchanganya refa, maana upande aliosimama refa alikua anazi face spot light kwa hiyo hata ungekuwa wewe ilikua ni ngumu kuona pale
Naam na hicho ndicho tumebishana na watu mtaani kwamba kamera haijatuonesha kabla mpira haujapigwa Kapombe na mchezaji wa Geita Gold walikuwa vipi maana ukitazama inaonekana tu kapombe karuka juu wakati mwenzake mikono ipo mbele na ndiyo anaruka yaani inaonesha kapombe aliruka kabla ya mwenzake ila cha ajabu kapombe alikuwa anaanguka wakati mpira unapigwa na mfunga goli jambo linaloonesha wazi kwamba kulikuwa na hali ya kusukumwa kwa kapombe kabla mchezaji wa Geita hajapokea mpira.Maamuzi ya Refa yalikuaje, Ni Kaotea au kafanya Faulo?.
Ukitazama Kwa makini, Yule Mchezaji wa Geita G, kabla hajaruka juuu, mikono yake ilimsukuma Kapombe, na ndio sababu Kapombe pamoja nakuruka juu, Aliishia kuanguka chini, sababu tayari alishatolewa kwa Reli.