Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

K
Kaka hebu fafanua vizuri hapo kwenye official/custom ststus nipate mwanga kidogo
 
Nililala mahabusu ya pale Msimbazi polisi station till morning, kesho yake majira ya saa nane mchana nikaja kutolewa na yule askari nikachukuliwa kutoka pale Msimbazi hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo road.

Nililala pale hadi kesho yake nikatolewa dhamana na mzazi wangu tukaifuatilia kesi mwisho wa siku ile simu ililetwa akaleta vielelezo vyake(warranty card), imei ilikuwa inasoma tofauti na ile simu.

Wakati huo kielelezo changu ambacho kilitumwa kilikuwa kinaendana na ile simu nikashinda nikaondoka na ile simu ila askar alinambia tu kuongeza umakini zaidi maana naweza kununua simu ya marehemu nikapewa kesi ya uuaji.

Nikatolewa mfano kuna mtu miaka mitatu yupo mahabusu kisa aliokota simu akaanza kutumia kumbe mmiliki mwenye ile simu aliuawa na watu wasiojulikana.
 
Duh..
Muongozo mzuri..
Ila kwa maelezo haya ingefaa iwe Uzi kabisa wadau wafunguke macho.
Hayo yote sidhani kama wanunuzi wa kawaida wanatekeleza, labda wanunuaji wa jumla
 
Yaan hata nyumba hatununui kwa masharti yote hayo..ukipenda kitonga lazima unyee debe simu zipo mpya ww unataka za mkononi ama refub harafu vitu km simu kua na duka lako moja tena sio wale wa vizimba unakuta duka moja linavimeza kumi 🤣🤣🤣Na simu mpya unaunua ikiwa haijapasuliwa ile karatasi ya nje ya box
 
Kwa faida ya wengi reyzzap ungeelezea simu ikiwa sealed na fullbox maana yake ni nini
 
Kuna mtu anaenda kupigwa muda si mrefu samsung noye 10 full box😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…