Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

Pole sana kijana, kuna la kujifunza hapa.
Kabisa
muhimu ni kuzidisha umakini wakati wa kununua vitu used hasa electronics na vyombo vya moto

nimekutana na watu wengi mahabusu ambazo wana kesi kama hizo
 
Simu used zishalaza sana watu selo. Maana nyingine zimehusika kwenye matukio makubwa ya uhalifu.
 
Simu used zishalaza sana watu selo. Maana nyingine zimehusika kwenye matukio makubwa ya uhalifu.
Siku naondoka nakumbuka afande alinambia "...UTAKUJA KUNUNUA SIMU YA MAEREHEMU KUNA MWENZIO ASHAWAHI KUKAA MAHABUSU MIAKA MITATU KWA KESI YA MAUAJI AMBAYO HAJAFANYA..."
 
Mkuu kiufupi nilienda polisi kesi iliwekwa mezani ikasikilizwa pande zote mbili.
Warrabty card ya ile simu ilipatikana ikawekwa mezani

Pia warranty card ya anaedai kua simu ni yake iliweka mezani

Mwishowe imei ya warranty yangu inaendana na ile simu lakini ya anayesema simu ni yake haikufanana kwahiyo nilikabidhiwa simu kesi ikawa imeisha
hukudai fidua ukakubali yaishe hivihvi tu mkuu
 
Back
Top Bottom