Jinsi smartphone used ilivyonipeleka polisi

Pole sana kijana, kuna la kujifunza hapa.
Kabisa
muhimu ni kuzidisha umakini wakati wa kununua vitu used hasa electronics na vyombo vya moto

nimekutana na watu wengi mahabusu ambazo wana kesi kama hizo
 
Simu used zishalaza sana watu selo. Maana nyingine zimehusika kwenye matukio makubwa ya uhalifu.
 
Simu used zishalaza sana watu selo. Maana nyingine zimehusika kwenye matukio makubwa ya uhalifu.
Siku naondoka nakumbuka afande alinambia "...UTAKUJA KUNUNUA SIMU YA MAEREHEMU KUNA MWENZIO ASHAWAHI KUKAA MAHABUSU MIAKA MITATU KWA KESI YA MAUAJI AMBAYO HAJAFANYA..."
 
hukudai fidua ukakubali yaishe hivihvi tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…