Jinsi Spurs atakavyomfunga Man City kesho, 16/12/2017

Jinsi Spurs atakavyomfunga Man City kesho, 16/12/2017

Huwezi kuchambua mechi kike kike ivyo kwani ukiwa na kiungo mkabaji mmoja kuna tatzo gan?

Spurs wanatumia wakabaji wangapi zaidi ya whinks?

Mbona nyie man city waliwafunga na izo counter attack zenu?
 
Mbn hujachambua upande wa spurs !!! Mapema city anschukua point 3 muhimu kexhooo hata vijana wa jose walixemaaaa hv
 
City kwa sasa ni kama ccm. Mbele kwa mbele. Ila game itakuwa ngumu. Pengo la mkenya Victor wanyama ndio linaisumbua spurs
 
Haha eti hakuna timu iliyo bora katika counter attack kama spurs??Wee una angaliaga mpira kweli?Hebu niambie kati ya Manchester United na Spurs ipi ni nzuri kwa counter attack?Man city atashinda kirahisi tuu kesho unless angekuepo Toby Alderweireld na Victor Wanyama kidogoo wangeleta upinzani lakini kwa kikosi cha sasa cha spurs hawezi mfunga guardiola.
 
Mechi ya goli nyingi kwa yoyote atakayeshinda.. Naona goli zaidi ya tano mpaka dk 90 zinakwisha.. Spurs wazuri kwa counter hawatakosa goli mbili, lakini city wazuri zaidi wakiingia kwenye half ya mpinzani wao, na wakati huo huo spurs sio wakupaki basi kivile so goli zimepungua sana mechi ya kesho kwa city ni goli mbili... Mpaka hapo unaweza kunielewa ninaposema naona goli zaidi ya tano kesho
 
Back
Top Bottom