Jinsi suala la bandari linavyoidhalilisha na kuichafua LHRC

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ki ukweli hili suala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua wale Chui na Simba, waliojivika ngozi ya Kondoo na Swala.

Watanzania wenye akili zetu timamu we can't imagine inakuaje mzazi ambae unajifanya una elimu, malezi bora ya wazazi wako, utu na uwezo wa kutetea haki za binadam uache wanasiasa uchwara wamtukane kiongozi wako ambae ndio raisi wako matusi ya laana. I mean wamdhihaki, wamkejeli na kumdhalilisha mbele ya watoto wake na wananchi wake halafu wewe ukae kimya tu unacheka, na kujifanya hujui wala huoni.

Je, kumdhalilisha mkuu wa nchi kwa kusema kuwa ana akili za matope sio kumvunjia haki zake, kumvunjia heshima yake na kumfanya hana maana mbele ya wananchi wake?

Ikiwa umeshindwa kuwakemea hawa wanasiasa waliomtukana Rais, je utaweza kuwakemea watoto wako wa kuwazaa pale wanapovunja haki za wengine?

Au haki huwa inatumika tu kwa wale waliopo upande wako peke yako?

Tukiachana na hilo la wanasiasa wako kumtukana Rais, pia tumeshangazwa na kauli yako ya uongo kwa watanzania kwamba kina Dkt. Slaa wamekamatwa kwa sababu ya kupinga mkataba. Huu ni uongo mkubwa ambao unatakiwa ujitokeze hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kutudanganya, na kujaribu kutufanya mazuzu.

Nasema umetudanganya watanzania kwa sababu kama kukamatwa kwao kungehusiana na ukosoaji wa bandari, basi kina kardinal Pengo, Prof Anna Tibaijuka, mzee Warioba, Mbowe, mtukanaji Lissu na wengine wengi wangekuwa jela sasa hivi.

Watanzania tunajua kile kilichowasukuma wewe na genge lako muamue kupindisha ukweli. Lakini nakuhakikishia kuwa hakuna baya" linaloweza kushinda "jema". Mtashindwa na mtadhalilika.

Japo umejaribu kuficha unafiki wako kwa kuunga unga vijistori vya hovyo, lkn uso wako kupitia macho yako na midomo yako vilikuwa inaonesha chuki ya wazi iliyopo ndani ya moyo wako dhidi ya Serikali yetu na raisi wetu.

Inasikitisha sana kuona mtu ambae ungepigania haki na sheria unakimbilia kwenye vyombo vya habari kupindisha sheria kwamba kina Slaa wamekamatwa kwa kukosoa mkataba utafikiri wewe ndio mahakama.

Unachotakiwa kujua kwamba mwanasiasa hana rafiki wa kudumu. Hao unaowatetea kwa uovu wao wa leo, kesho utaporudi kwenye mstari na kusimamia ukweli watakutukana na kukudhalilisha kama wanavyodhalilisha wengine.

Hebu soma maelezo ya Dkt. Slaa hapo pichani, halafu uniambie ni nani aliekuwa anajua kama Dkt. Slaa angekuwa miongoni mwa wanaopanga kumpindua raisi Samia?

Sio siri mama Anna Aloys Henga umejivunjia heshima na umejidhalilisha. I mean umeichafua CV yako kwa sababu ya kuliendekeza tumbo lako.

Kuanzia leo watanzania hatutakuita tena mtetezi wa haki za binadam, bali tutakuita mtetezi wa maadui wa taifa, na wapigania matumbo yao.

Dkt. Slaa mwenyewe ashaonya enzi za Mbowe kwamba dunia nzima hakuna mwananchi anaeweza kusema kwamba fulani ni mhaini au sio mhaini. Sasa wewe Anna unapata wapi ujasiri wa kupinga kuwa Slaa sio mhaini kabla mahakama haijaamua vinginevyo?
 
Attachments

  • F3jgOTWXUAAbCBJ.jpeg.jpg
    F3jgOTWXUAAbCBJ.jpeg.jpg
    132.2 KB · Views: 2
Kwani Mdude alivyoachiwa huru kipindi kile alikuwa katika mahakama gani?
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ki ukweli hili swala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua wale Chui na Simba, waliojivika ngozi ya Kondoo na Swala.

Watanzania wenye akili zetu timamu we can't imagine inakuaje mzazi ambae unajifanya una elimu, malezi bora ya wazazi wako, utu na uwezo wa kutetea haki za binadam uache wanasiasa uchwara wamtukane kiongozi wako ambae ndio raisi wako matusi ya laana. I mean wamdhihaki, wamkejeli na kumdhalilisha mbele ya watoto wake na wananchi wake alafu wewe ukae kimya tu unacheka, na kujifanya hujui wala huoni.

Je kumdhalilisha mkuu wa nchi kwa kusema kuwa ana akili za matope sio kumvunjia haki zake, kumvunjia heshima yake na kumfanya hana maana mbele ya wananchi wake?

Ikiwa umeshindwa kuwakemea hawa wanasiasa waliomtukana raisi, je utaweza kuwakemea watoto wako wa kuwazaa pale wanapovunja haki za wengine?

Au haki huwa inatumika tu kwa wale waliopo upande wako peke yako?

Tukiachana na hilo la wanasiasa wako kumtukana raisi, pia tumeshangazwa na kauli yako ya uongo kwa watanzania kwamba kina Dr Slaa wamekamatwa kwa sababu ya kupinga mkataba. Huu ni uongo mkubwa ambao unatakiwa ujitokeze hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kutudanganya, na kujaribu kutufanya mazuzu.

Nasema umetudanganya watanzania kwa sababu kama kukamatwa kwao kungehusiana na ukosoaji wa bandari, basi kina kardinal Pengo, Prof Anna Tibaijuka, mzee Warioba, Mbowe, mtukanaji Lisu na wengine wengi wangekuwa jela sasa hivi.

Watanzania tunajua kile kilichowasukuma wewe na genge lako muamue kupindisha ukweli. Lakini nakuhakikishia kuwa hakuna baya" linaloweza kushinda "jema". Mtashindwa na mtadhalilika.

Japo umejaribu kuficha unafiki wako kwa kuunga unga vijistori vya hovyo, lkn uso wako kupitia macho yako na midomo yako vilikuwa inaonesha chuki ya wazi iliyopo ndani ya moyo wako dhidi ya serikali yetu na raisi wetu.

Inasikitisha sana kuona mtu ambae ungepigania haki na sheria unakimbilia kwenye vyombo vya habari kupindisha sheria kwamba kina Slaa wamekamatwa kwa kukosoa mkataba utafikiri wewe ndio mahakama.

Unachotakiwa kujua kwamba mwanasiasa hana rafiki wa kudumu. Hao unaowatetea kwa uovu wao wa leo, kesho utaporudi kwenye mstari na kusimamia ukweli watakutukana na kukudhalilisha kama wanavyodhalilisha wengine.

Hebu soma maelezo ya Dr Slaa hapo pichani, alafu uniambie ni nani aliekuwa anajua kama Dr Slaa angekuwa miongoni mwa wanaopanga kumpindua raisi Samia?

Sio siri mama Anna Aloys Henga umejivunjia heshima na umejidhalilisha. I mean umeichafua CV yako kwa sababu ya kuliendekeza tumbo lako.

Kuanzia leo watanzania hatutakuita tena mtetezi wa haki za binadam, bali tutakuita mtetezi wa maadui wa taifa, na wapigania matumbo yao.

Dr Slaa mwenyewe ashaonya enzi za Mbowe kwamba dunia nzima hakuna mwananchi anaeweza kusema kwamba fulani ni mhaini au sio mhaini. Sasa wewe Anna unapata wapi ujasiri wa kupinga kuwa Slaa sio mhaini kabla mahakama haijaamua vinginevyo?
Umeandika nini na nani kavunjiwa haki zake kati ya hao Wazanzibari na Watanganyika,
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ki ukweli hili swala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia
Inasemekama LHRC ni sehemu pekee iliyobaki kutakasisha hela ziendazo kufadhili ushoga. Pia ni sehemu nzuri kupitisha malipo kwa informers na spies wavaao nguo za upinzani wasaidie kuboostisha bajeti ya LHRC. Ni mahala pachafu, hapana maslahi kwa Taifa hili.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ki ukweli hili swala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia Mbowe kwamba dunia nzima hakuna mwananchi anaeweza kusema kwamba fulani ni mhaini au sio mhaini. Sasa wewe Anna unapata wapi ujasiri wa kupinga kuwa Slaa sio mhaini kabla mahakama haijaamua vinginevyo?
Hao malaya sijui hata km wana waume, km wanao ni wa kuwatimizia tu haja zao za ngono. Huyo Ananilea na Anna Henga ni wachumia tumbo na wafaidika wa uendeshaji mbovu wa bandari, wanapitishia mizigo yao inayotoka kwa mabwana zao alioko ulaya kwa magendo bila kulipa kodi stahiki, wapuuzeni hao wapuuzi. Mwanmke mzima anatokwa mapovu kwa kuongea uwongo bila hata chembe ya haya, shenzy kabisa.

Labda wana nchi nyingine ya kukimbilia mambo yakiharibika. Mwabukusi na Slaa waliongea live tukiwaona na kuwasikia wakiongea maneno ya kujenga chuki, ya kugawa nchi, ya kichochezi na maeno ya kihaini. Walitaka wasikie na kuona nini cha ziada ndiowaamini ni wahalifu? Washenzi kabisa, sijui hata watoto wao wanajifunza nini kutoka kwao.
 
Kwani Mdude alivyoachiwa huru kipindi kile alikuwa katika mahakama gani?
Mahakama hizo hizo ndio zilipewa maagizo ya kumkomoa hapo awali kwa kimgjf kwahiyo hakuna chochote utaongea ili tuamini kuwa hizo mahakama zinaweza kutenda haki kwa wapinzani.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ki ukweli hili swala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua wale Chui na Simba, waliojivika ngozi ya Kondoo na Swala.

Watanzania wenye akili zetu timamu we can't imagine inakuaje mzazi ambae unajifanya una elimu, malezi bora ya wazazi wako, utu na uwezo wa kutetea haki za binadam uache wanasiasa uchwara wamtukane kiongozi wako ambae ndio raisi wako matusi ya laana. I mean wamdhihaki, wamkejeli na kumdhalilisha mbele ya watoto wake na wananchi wake alafu wewe ukae kimya tu unacheka, na kujifanya hujui wala huoni.

Je kumdhalilisha mkuu wa nchi kwa kusema kuwa ana akili za matope sio kumvunjia haki zake, kumvunjia heshima yake na kumfanya hana maana mbele ya wananchi wake?

Ikiwa umeshindwa kuwakemea hawa wanasiasa waliomtukana raisi, je utaweza kuwakemea watoto wako wa kuwazaa pale wanapovunja haki za wengine?

Au haki huwa inatumika tu kwa wale waliopo upande wako peke yako?

Tukiachana na hilo la wanasiasa wako kumtukana raisi, pia tumeshangazwa na kauli yako ya uongo kwa watanzania kwamba kina Dr Slaa wamekamatwa kwa sababu ya kupinga mkataba. Huu ni uongo mkubwa ambao unatakiwa ujitokeze hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kutudanganya, na kujaribu kutufanya mazuzu.

Nasema umetudanganya watanzania kwa sababu kama kukamatwa kwao kungehusiana na ukosoaji wa bandari, basi kina kardinal Pengo, Prof Anna Tibaijuka, mzee Warioba, Mbowe, mtukanaji Lisu na wengine wengi wangekuwa jela sasa hivi.

Watanzania tunajua kile kilichowasukuma wewe na genge lako muamue kupindisha ukweli. Lakini nakuhakikishia kuwa hakuna baya" linaloweza kushinda "jema". Mtashindwa na mtadhalilika.

Japo umejaribu kuficha unafiki wako kwa kuunga unga vijistori vya hovyo, lkn uso wako kupitia macho yako na midomo yako vilikuwa inaonesha chuki ya wazi iliyopo ndani ya moyo wako dhidi ya serikali yetu na raisi wetu.

Inasikitisha sana kuona mtu ambae ungepigania haki na sheria unakimbilia kwenye vyombo vya habari kupindisha sheria kwamba kina Slaa wamekamatwa kwa kukosoa mkataba utafikiri wewe ndio mahakama.

Unachotakiwa kujua kwamba mwanasiasa hana rafiki wa kudumu. Hao unaowatetea kwa uovu wao wa leo, kesho utaporudi kwenye mstari na kusimamia ukweli watakutukana na kukudhalilisha kama wanavyodhalilisha wengine.

Hebu soma maelezo ya Dr Slaa hapo pichani, alafu uniambie ni nani aliekuwa anajua kama Dr Slaa angekuwa miongoni mwa wanaopanga kumpindua raisi Samia?

Sio siri mama Anna Aloys Henga umejivunjia heshima na umejidhalilisha. I mean umeichafua CV yako kwa sababu ya kuliendekeza tumbo lako.

Kuanzia leo watanzania hatutakuita tena mtetezi wa haki za binadam, bali tutakuita mtetezi wa maadui wa taifa, na wapigania matumbo yao.

Dr Slaa mwenyewe ashaonya enzi za Mbowe kwamba dunia nzima hakuna mwananchi anaeweza kusema kwamba fulani ni mhaini au sio mhaini. Sasa wewe Anna unapata wapi ujasiri wa kupinga kuwa Slaa sio mhaini kabla mahakama haijaamua vinginevyo?
Oyaa weka humu, sisi tunaondoka. Ukichelewa utazipeleka mwenyewe Dampo
900x0.jpg
 
Hao malaya sijui hata km wana waume, km wanao ni wa kuwatimizia tu haja zao za ngono. Huyo Ananilea na Anna Henga ni wachumia tumbo na wafaidika wa uendeshaji mbovu wa bandari, wanapitishia mizigo yao inayotoka kwa mabwana zao alioko ulaya kwa magendo bila kulipa kodi stahiki, wapuuzeni hao wapuuzi. Mwanmke mzima anatokwa mapovu kwa kuongea uwongo bila hata chembe ya haya, shenzy kabisa. Labda wana nchi nyingine ya kukimbilia mambo yakiharibika. Mwabukusi na Slaa waliongea live tukiwaona na kuwasikia wakiongea maneno ya kujenga chuki, ya kugawa nchi, ya kichochezi na maeno ya kihaini. Walitaka wasikie na kuona nini cha ziada ndiowaamini ni wahalifu? Washenzi kabisa, sijui hata watoto wao wanajifunza nini kutoka kwao.
Nimeona matusi na jazba zaidi kuliko hoja ulizotaka kuleta hapa. Hiki kiburi Chenu kitaiisha kwa machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
 
Heshima ni kwa wenye kujiheshimu na kukuheshimu, vitendo wanavyofanya na kutufanyia hao viongozi vina maana ya kutojiheshimu wao wenyewe na pia hawatuheshimu na sisi.

Mwigulu alivyowaambia wananchi kwa kiburi kabisa wahamie Burundi, Je hilo lilionekana ni sawa? Kama si sawa je huyo kiongozi mkubwa kabisa alifanya nini zaidi ya kujisifu kuziba masikio? Hao akina Nape ndio wanatukana kabisa wananchi huko mitandaoni ila linapita kimya kwa sababu tuna stahili kufanyiwa hivyo.

Viongozi wa namna hiyo unaanzaje kuwaheshimu ikiwa wenyewe wanatuchukulia kama mbwa tu?
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Ki ukweli hili swala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua wale Chui na Simba, waliojivika ngozi ya Kondoo na Swala.

Watanzania wenye akili zetu timamu we can't imagine inakuaje mzazi ambae unajifanya una elimu, malezi bora ya wazazi wako, utu na uwezo wa kutetea haki za binadam uache wanasiasa uchwara wamtukane kiongozi wako ambae ndio raisi wako matusi ya laana. I mean wamdhihaki, wamkejeli na kumdhalilisha mbele ya watoto wake na wananchi wake alafu wewe ukae kimya tu unacheka, na kujifanya hujui wala huoni.

Je kumdhalilisha mkuu wa nchi kwa kusema kuwa ana akili za matope sio kumvunjia haki zake, kumvunjia heshima yake na kumfanya hana maana mbele ya wananchi wake?

Ikiwa umeshindwa kuwakemea hawa wanasiasa waliomtukana raisi, je utaweza kuwakemea watoto wako wa kuwazaa pale wanapovunja haki za wengine?

Au haki huwa inatumika tu kwa wale waliopo upande wako peke yako?

Tukiachana na hilo la wanasiasa wako kumtukana raisi, pia tumeshangazwa na kauli yako ya uongo kwa watanzania kwamba kina Dr Slaa wamekamatwa kwa sababu ya kupinga mkataba. Huu ni uongo mkubwa ambao unatakiwa ujitokeze hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kutudanganya, na kujaribu kutufanya mazuzu.

Nasema umetudanganya watanzania kwa sababu kama kukamatwa kwao kungehusiana na ukosoaji wa bandari, basi kina kardinal Pengo, Prof Anna Tibaijuka, mzee Warioba, Mbowe, mtukanaji Lisu na wengine wengi wangekuwa jela sasa hivi.

Watanzania tunajua kile kilichowasukuma wewe na genge lako muamue kupindisha ukweli. Lakini nakuhakikishia kuwa hakuna baya" linaloweza kushinda "jema". Mtashindwa na mtadhalilika.

Japo umejaribu kuficha unafiki wako kwa kuunga unga vijistori vya hovyo, lkn uso wako kupitia macho yako na midomo yako vilikuwa inaonesha chuki ya wazi iliyopo ndani ya moyo wako dhidi ya serikali yetu na raisi wetu.

Inasikitisha sana kuona mtu ambae ungepigania haki na sheria unakimbilia kwenye vyombo vya habari kupindisha sheria kwamba kina Slaa wamekamatwa kwa kukosoa mkataba utafikiri wewe ndio mahakama.

Unachotakiwa kujua kwamba mwanasiasa hana rafiki wa kudumu. Hao unaowatetea kwa uovu wao wa leo, kesho utaporudi kwenye mstari na kusimamia ukweli watakutukana na kukudhalilisha kama wanavyodhalilisha wengine.

Hebu soma maelezo ya Dr Slaa hapo pichani, alafu uniambie ni nani aliekuwa anajua kama Dr Slaa angekuwa miongoni mwa wanaopanga kumpindua raisi Samia?

Sio siri mama Anna Aloys Henga umejivunjia heshima na umejidhalilisha. I mean umeichafua CV yako kwa sababu ya kuliendekeza tumbo lako.

Kuanzia leo watanzania hatutakuita tena mtetezi wa haki za binadam, bali tutakuita mtetezi wa maadui wa taifa, na wapigania matumbo yao.

Dr Slaa mwenyewe ashaonya enzi za Mbowe kwamba dunia nzima hakuna mwananchi anaeweza kusema kwamba fulani ni mhaini au sio mhaini. Sasa wewe Anna unapata wapi ujasiri wa kupinga kuwa Slaa sio mhaini kabla mahakama haijaamua vinginevyo?

Kama Rais katukanwa kwa nini akina Dr Slaa wasifunguliwe kesi za kashfa kwa Rais?
Lisu aliyesema Rais ana akili za matope mbona haijakamatwa?
Unajua maana ya kuipundua serikali?
Hacha uchawa mtoto wa kiume wewe
 
Back
Top Bottom