Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Usikute ata muvi ya yesu tulipigwa[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikute ata muvi ya yesu tulipigwa[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
Utengenezaji wa Filamu ya Yesu (Jesus of Nazareth 1979) Brian Deacon.
Ni Filamu iliyo engenezwa mwaka 1979 ikionyesha maisha ya Yesu kristu ilitengenezwa na
John Heyman na kuongozwa na Peter Sykes na John Krish. Ilitengenezwa kupitia injili ya mtakatifu Luka. ilifadhiliwa na Campus Crusade for Christ bajeti yake ikiwa ni $6Mil. ilishutiwa Israel.
Project nzimma ilisimamiwa na Jesus Film Project ambayo ilikua chini ya Evangelical Organization.
Brian Deacon ndie alikua mwigizaji mkuu kama Yesu.
Deacon alikua mwigizaji pekee aliyeshinda kwenye mchujo waigizaji 263 ambao walitaka kuigiza kama Yesu.

Sasa ipo hivi...
Leonardo da Vinci alimchora Caesar Borgia mtoto wa Papa Alexander 8 ile picha akailemba kidogo ikawa na mwonekano tofauti

Kama unapenda Conspiracy theory naweza kuendelea pia...
 
Kuna movie naiandaa, budget yake ni M280$
Hii itakuwa historia ulimwenguni, sema watu wa…wanalitea chokochoko eti nimetoa wapi hela..!! Daahh
Utakuwa umelala wewe. Amka mkuu tujifunze mambo magumu.
 
Endelea chief.....[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikaweje?
 
na vipi movie zetu kama Spartacus,G.O.T,Power n.k yale mambo yanayofanyika mule ni real au wanaunganisha tu miili 'ke' na 'me'?
 
Endelea chief.....[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok naendelea..

Lakini ile picha hàkua amemchora Borgia Alikua kamchora Anti christ. Brian Deacon kapita kwenye mchujo huo wa watu 260 kilichokua kinatafutwa ni mtu atakayefanana na ile picha aliyechora Leonardo da Vinci ambae ni mpinga Kristo mwenyewe. Sasa bahati ikaangukia kwa Deacon akafanyiwa na make up kidogo akawa amefanana nae. Picha imechezwa na lengo lao limetimia. Leo hii mtu akiona picha ya Deacon atasema ni Yesu.

Lengo ni kwamba Watu tukalili kua yule tunayemwona kwenye picha tuseme ndie Yesu Tukishakua na Mentality hio ikifika ule wakati wa mpinga kristo kuja duniani watu wengi watamfuata kwasababu watakua wamekariri kua ndie Kristo Masihi. na atakua na uwezo wa kutenda miujiza kama Yesu kristo.
 
Aisee akili kubwa sana hio na imefanikiwa kwa asilimia kubwa
 
Aisee akili kubwa sana hio na imefanikiwa kwa asilimia kubwa
Ndio hivyo mkuu hizi film company kama Hollywood hua zinalenga kipi tuone na kwa sababu gani. Anyway mimi naangalia tu kuinjoi sio kuchunguza ya nyuma ya pazia. The less you know, the better
 
Ndio hivyo mkuu hizi film company kama Hollywood hua zinalenga kipi tuone na kwa sababu gani. Anyway mimi naangalia tu kuinjoi sio kuchunguza ya nyuma ya pazia. The less you know, the better
Hii ndio kama ile ya kwenye series ya midnight Texas malaika akawa shoga
 
Hii ndio kama ile ya kwenye series ya midnight Texas malaika akawa shoga
Au kama series ya Dominion Mungu alikimbia makazi yake Gabriel akawa adui halafu Michael ndio sterling. Ila wote wana mademu pia, upuuzi mtupu
 
Ila wazungu bwana watabaki kua juu yetu.
Pichani ni Henry Cavill muigizaji wa muvi ya Justice League/Superman, picha ya kushoto ni muonekano alivyokua kwenye muvi ya Mission Impossible Fallout .

Hizi muvi mbili Mission Impossible na Justice League zilikua zinashutiwa wakati mmoja, Kwenye Mission Impossible alitakiwa kua na Mustache ila kwenye Justice League hakutakiwa kua na Mustache. Sasa Kwakua waandaaji wa Mission Impossible ndio walikua na right juu ya Henry Cavill hivyo waliwambia waandaaji wa Justice League walipe Dollar million 3 sawa na Billion 7 za kibongo ili wamruhusu anyoe hizo Mustache

Waandaaji kusikia 3Million wakakataa wakamuacha aigize hivo hivo na mustache ila kwenye Post Production walitumia VFX kuondoa hizo Mustache


Angalia hapa picha akiwa anaigiza na Mustache Halafu na picha akiwa hana mustache baada ya kufanyiwa VFX

Cc
Daisy
 

Aliyekaa ni Taika Waititi (Korg), upande wake wa kushoto asiyeonekana vizuri ni Sean Gunn(Rocket), Aliyevaa hilo lidude ni Mark Rufalo (Hulk), aliye katikati ni Director Joe Russo na mwenye kitambi ni Chriss Hemsworth (Thor)

Chris hemsworth alivaa mwili wa kutengeneza ndio maana anaonekana ana kitambi ila kiuhalisia ana Six pack, yeye hakufanya Diet ya kunenepesha mwili!

Ushajiuliza kwanini viumbe wenye miili mikubwa kwenye muvi kama Hulk waigizaji wake hua wanavaa hayo madude makubwa?? Reasons ni kwamba wanavaa hivyo ili Marker/Dots ziwe zina zimetanuka/pana/zipo mabalimbali kuliko mwili wa mwanadamu ulivyo

Unajua huwezi kutanua position ya Dots/Marker kwa kutumia computer ndio maana wanavaa miili minene ili kutengeneza umbo linalohitajika.

Sijui kama maelezo haya yameeleweka hata🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…