Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #201
Kwenye Cinematography Camera hua zinasetiwa kila upande hii husaidia kupata picha ya kila engo, lakini pia kuna jinsi ya kuchagua lenses na Camera za kutokana na aina ya Resolution atakayopenda Director. Halafu huku kwetu Director ndio huyo huyo anayeshika Camera wakati ni kazi ya Cinematographer.
Hua nashindwa kuelewa wanaseti vipi Camera hadi zinaonyesha sehemu nyemba na ndogo kama vile tundu, Bomba nk
Hua nashindwa kuelewa wanaseti vipi Camera hadi zinaonyesha sehemu nyemba na ndogo kama vile tundu, Bomba nk