Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Hio picha ya mwisho sio ya kuchorwa kwenye computer. Imechorwa kawaida tu ila mchoraji ndio alikuwa hatari.Aisee ndio maana bajeti inafika $400mil asee kazi ina process ndefu sana. Mimi kitu kinachonishangaza ni jinsi wanavyozipatia details ndogondogo kwenye kiumbe/mtu aliyetengenezwa hasa animation. Details kama vile vinyweleo, matundu ya jasho nk.
Ni umakini wa hali ya juu asee yaani hadi nyuzi/sufi sufi zailizopo kwenye mguo hua wanazionyeshaView attachment 2127894View attachment 2127895
Jacket alilovaa is so realistic asee
View attachment 2127896
Details nazosema angalia nguonza huyu mdada, japo hii ni picha ya kuchora ila mchoraji alizingatia small details hadi picha imekua Realistic
View attachment 2127899
Hio ya huyo bibi wa coco sio picha ya kuchorwa bali ni picha ya mtu halisi (huyo bibi ni mmexico walitumia picha yake halisi )