Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Ni uwekezaji wenye gharama kubwa sana,na ndio maana sio kila mtu anafanya..
Movies zenye budget kubwa,unakuta hata wawekezaji ni wengi walau kupunguza mzigo,

Kuhusu scenes za ajali,zipo real(wanaotumia proffesional stuntmen,na zipo za vitoy car)..
Mfano Terminator 2 kuna vitoy car vilitumika..
Muvi nyingi za Jackie Chan zile ni real cars..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Basi Jack Chan apewe sifa. Kumbe wanatuibia namna hii, Mimi na Kesha na Money Heist ya akina Professor na Tokyo, kumbe watu wamejifungia masaa matatu na kutengeza episode 1 !!!
 
Asante kwa kunifungua macho mkuu, binafsi nilikuwaga afahamu huwenda movie Kama ya King Kong anatumika sokwe halisi Kisha wanamtengeneza kwenye kompyuta ndipo tunapata kuona tunachokiona... Kumbe ni tofauti kabisa aisee [emoji50]
Wahuni Halafu wanalauumu saaana movies za kihindi!!!
 
Huo mfumo lazima kuna mtu awepo juu yao akitoa maelekezo. Huyo hasa ndio anazungumziwa. Sijui ww ni muislam au lah ila Qur'an imemueleza vyema tu.
Na nikukumbushe tu kua mwanzo kabisa nimesema hii ni conspiracy theory so inaweza kua sahihi au uongo
Umemjibu vizuri

Na labda kama unaogopa kumuudhi nimwambie tu hata shetani ni mfumo hakuna mtu/kitu kimoja kinaitwa shetani

Huenda hata Mungu ni hivyohivyo
 
Huo mfumo lazima kuna mtu awepo juu yao akitoa maelekezo. Huyo hasa ndio anazungumziwa. Sijui ww ni muislam au lah ila Qur'an imemueleza vyema tu.
Na nikukumbushe tu kua mwanzo kabisa nimesema hii ni conspiracy theory so inaweza kua sahihi au uongo
NI UONGO NA HAPA UNATUMIA AKILI NYEPESI TU YA DARASA LA 6. NI UONGO. hata conspiracy theories nyingine unatakiwa uchanganye na zako. Akili za mbayumbayu. Mimi ni Muislamu nasoma hata Biblia. Uongo nauchukia na ukweli nautafuta. Hakuna picha ya Yesu Duniani.
 
Umemjibu vizuri

Na labda kama unaogopa kumuudhi nimwambie tu hata shetani ni mfumo hakuna mtu/kitu kimoja kinaitwa shetani

Huenda hata Mungu ni hivyohivyo
Hakuna Picha ya Mpinga Kristo. Ni uongo kuwa ile video ya Yesu ni sura ya mpinga Kristo. Ni very stupid arguement.
 
Mkuu sema neno hapa
FB_IMG_1663007441945.jpg
FB_IMG_1663007438955.jpg
FB_IMG_1663007436315.jpg
FB_IMG_1663007432166.jpg
FB_IMG_1663007429216.jpg
FB_IMG_1663007426177.jpg
FB_IMG_1663007422767.jpg
FB_IMG_1663007395470.jpg
FB_IMG_1663007384506.jpg
 
Mkuu hii ni photoshop tu na sio hata CGI. Jamaa alikua tu anaangalia tu pozi gai akae kulingana na picha za hao character kisha anawaphotoshop kama yupo nao. Njia hii hii imetumika kwenye series ya The Boys Ep7 na Ep8 mtu anakua kama yupo anaongea na katuni but they were juat inserted digitally
Angalia picha ya tatu kutoka chini katika post yako hii niliyokoti jamaa alikua tu kachuchumaa chini ila kai-Flip picha ionekane kaninginia kwenye maporomoko na hiyo katun
Basi wenyewe wamemwita jinias
 
issue kubwa inaanzia toka kwenye script,bahati nzuri niko karibu na mwandishi mzuri wa script kuanzia story building mpka dialogues....ameandika TALAKA ambayo ilianzwa kuoneshwa DSTV nadhani 2014,then ikapelekwa Startimes,Nadhani mwaka jana pia niliona imepelekwa tena KTN Kenya
Pia ameandika Ep 16 za mwanzo za 'UHURU NA GHARAMA ZAKE' ilikuwa ikioneshwa Azam,
Kwa uzoefu wake anasema mazingira ya bongo ni ngumu mno kutengeneza story iliyo competant coz unakuta kwenye script umeandika character flan aonekane anaendesha gari la hadhi ya juu Director anaenda kuchukua NOAH,Unaandika kwenye script scene flani ishutiwe usiku na shot ichukuliwe kwenye angle flan,Director tena anashoot mchana anashusha mapazia na hazingatii angle aliopewa ya shot anafanya anavyojiskia kiasi cha kwamba mwisho wa siku story inakosa mvuto wa mawazo halisi ya mwandishi
Kaka Habari Naweza kuja PM
 
Blacknar Boltagon (Black Bolt) suti yake ilitengenezwa kwa CGI
FB_IMG_16639691161240316.jpg
 
Toka nianze fuatilia huu Uzi,kuna vibe fulani la kuàngalia movies limenitoka.

Kama ilivo handmade products zilivo na bei, hata movies zisizo na makolokolo tajwa zitakua na thamani.
 
Back
Top Bottom