Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu Tony Stark [emoji23][emoji23]
PreciselyThe beauty of VFX
View attachment 2624930
Cinematographer ni mtu aayerekodi scenes zinazokua directed na director kutoka kwenye play husika. Kibongo bongo hua wanajiita "Kameramani"jinematography maana yake nini ??
Na huku bongo kwetu mbona kwenye movies zao sionagi hili neno..?
Sawa sawa... Kumbe yee ni kushika camera tuu basi .?Cinematographer ni mtu aayerekodi scenes zinazokua directed na director kutoka kwenye play husika. Kibongo bongo hua wanajiita "Kameramani"
Njoo na mpya zako mkuu,hili ni jukwaa huru.Post no 1. Hakuna kipya. Ume copy and paste. Imetafsiriwa tu kwenye kiswahili so hapo hakukuwa na jipya kwa mtoa mada. Alikuwa tu hana cha kufanya akaamua atafsiri na kuja kubandika hapa so hakuna ambacho ni chake.
Ushaona zile scene ambazo labda ni racig halaf kameraman yupo kwenye kigari hivi. Aisee hua wanachoka sanaHuwa napenda sana ubunifu unaofanyika katika cinematographic techniques. Na pia nazikubali movie ambazo scenes zake zimeshutiwa na hand held cameras....[emoji3518][emoji3518][emoji3518][emoji3518]
Hii ilikuwa ni make up