Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Kwa wakorea wenyewe wana eneo maalumu ya kuigizia historical film. Ni kama kijiji kabisa!
Ila kwa wazungu ni mwendo wa Green screen tu, nyumba hizi kisasasa zinabadirishwi kuonekana za kizamani
Hapa mkuu ni 50 % 50 %...
Siyo kila kitu ni green screen ,hata Hollywood nao u-dedicate mda ,wana studio zenye muonekano tofauti tofauti,,Luna special areas ambazo zina set za Majengo ya Zamani,Set za majengo ya Western na hata kuna watu wanafanya kazi kukusanya vitu vilivyotumika miaka 1920s,30s,40s,50s,60s hadi 2000s.
Ikitokea Movie ina mahadhi ya miaka hiyo ,basi hao hupeleka mavazi ya miaka hiyo,magari,magazeti hadi alama za barabarani...
Check behind the scene ya WEST SIDE STORY.
 
Ahsante kwa kunijuza kitu kipya aisee... Filmmaking kwa wenzetu wapo mbali sana
 

Hata za ACTION zipo zenye uhalisia na maisha yetu ya kila siku, mimi hata kabla sijafahamu hiki kitu cha VFX nilikuwa sio mpenzi wa muv zenye vitu vya kufikirika, napenda ACTION MOVIES ila zenye vitu ambavyo vinawezekana kwenye maisha halisi, mfano SÖZ hakuna sehemu patanifanya nigune kwamba hapa tumepigwa, editing zipo ndio lakini zina uhalisia na maisha halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…