Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Asante kwa kunifungua macho mkuu, binafsi nilikuwaga afahamu huwenda movie Kama ya King Kong anatumika sokwe halisi Kisha wanamtengeneza kwenye kompyuta ndipo tunapata kuona tunachokiona... Kumbe ni tofauti kabisa aisee [emoji50]
Nami nilidhani ni sokwe wanamfundisha kufanya hivyo. Vipi sasa wale dinosaur kwenye jurasic park wanatoa wapi?? Kumbe kila kitu kipo Computerized.
 
Huwa ni muumini mzuri wa hizi mambo huko YouTube and to be honest imenifanya morale au tension ya kuangalia movie za action kupungua sana sana.

Ndio maana nimekuwa muumini mzuri wa movie za story na mapenzi kwa kiasi chake hata kama na zenyewe sio real sana but at least zina uhalisia na maisha yetu ya kila siku.
 
Mimi mdau mkubwa wa masuala ya muvi na Sci-fi ndio genre yangu pendwa. Napenda muvi za marvel studio nannajua zinatengenezwa kwa vfx 95% lakini siwezi kuacha kutazama.

Ila kwakweli hua nikitazma muvi za Transformers hua najiukiza sana wanawezaje kutengeneza madude yakawa vile ??? Wazungu si wenzetu
 
Kama Jurassic World ya 2018 unaambiwa kuna makosa mengi katika utengenezaji lakini. Kibongo bongo uliangalia huwezi gundua unaona bonge la movie tena mawazo yanakwenda mbali.....
Yeah ni kama muvi ya Avatar the last airbender, huwezi kuona makosa kama huna abc za haya mambo ila ile Muvi ilichukua tuzo za hovyo.
Worst Picture
Worst Director
Worst Supporting Actor
Worst Supporting Actress
Worst Screen Couple / Worst Screen Ensemble
Worst Prequel, Remake,
Worst Eye-Gouging Mis-Use of 3D
 
I sincerely applaud you for another nice thread and better technological topic "about movie capture technology". I have nothing to add rather than to read it again and again for better understanding.
Thank you mate.
Keep the good work alive and never stop it.
 
Ahsante sana mate
Tuendelee kushea maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…