Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitaku PM kuna project kama utakuwa interested waweza wekeza your writing skills thereMkuu naona kama kwa afrika hii nikijifunza hichi kitu sitapata kile nachotaka. Ndio maana option yangu ni UK or Us basi kama itashindikana huko basi nitaachana na hili wazo maana hata aina ya vitu navyofikiria kutengenezea Film adaptation kwa bongo au afrika technology au bajeti yake hatumudu.
Au nihamishie upande wa uandishi tu kawaida..kuandika Majarida, Article, Books. Connection sasa🤔
connection sio kila kitu....ni mara mia uhustle ujenge your brand itakayokuingizia unlimited money kwa kuweka subra hapa mwanzoni palipo pagumu,kuliko connection zisizo na maishaPamoja sana kiongozi, Ngoja niisubirie
Shida ni connection tu!
Asante Sana mkuuHongera sana mate, all the best!
Ungana na huyu Stephen Chelu naye anafanya haya mambo ya blender. You can do such amazing job
Ni kweli kabisa tatizo pa kuanzia ndio sijui ukizingatia sina elimu ya masuala haya it's just a passion and ambitionconnection sio kila kitu....ni mara mia uhustle ujenge your brand itakayokuingizia unlimited money kwa kuweka subra hapa mwanzoni palipo pagumu,kuliko connection zisizo na maisha
Nitafanya hivyo mkuu😊😊Mkuu ungeenda ukawahdithia inavyokua ili ujipatie ujiko huko, naamini hadi warembo utangoa 😅
Mkuu,kuna watu usomaji wao ni ili wamalize kusoma tuuu kilicho andikwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Je umesoma mada hadi mwisho? Mbona nimeeleza sababu fulani zinazofanya rangi kutumika iwe blue au kijani
Yeap mate some knowledge in order to have them to burst your ass coz nobody is gonna teach you.katika maarifa ambayo huwezi kufundishwa chuo kikuu au film school ni teknolojia hii ya kutengeneza filamu za animation sambamba na haya masuala ya motion capture.
it's all about dedicating your time in self learning and investing in tools.
Tuchukulie mfano series ya walking dead, nadhani ndio maarafu katika genre ya post apocalyptic.Nami nimepata kitu hapa..hivi zile movie za zombies..nini kipo nyuma ya pazia ambacho wengine hatukijui? Je tunaandaliwa kisaikolojia? (Najua nimetoka nje ya mada kidogo)