Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Nothing to add,mleta uzi huenda hata wewe umekuwa computerized,umeelezea vitu vigumu sana kukuelewa,anyway! acha nimeze hivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda na wachina wana hayo maeneo.pia behind the scene kwa baadhi ya movie zao huwa wanaonesha ni vijiji vya zamani kabisa.Kwa wakorea wenyewe wana eneo maalumu ya kuigizia historical film. Ni kama kijiji kabisa!
Ila kwa wazungu ni mwendo wa Green screen tu, nyumba hizi kisasasa zinabadirishwi kuonekana za kizamani
Yaani vurugu tupu hata color grading bado hawajapatia ndio maana unaweza kuona mtu kwenye tv kang'aa kama kaoga mafuta.kibongo bongo ishu inayofanywa na kompyuta ni colour effect,sound visualization wapo wanao dub,kuunganisha scene,kuweka subtitle,kurender end of the story
na soundtrack zile zile kila movieYaani vurugu tupu hata color grading bado hawajapatia ndio maana unaweza kuona mtu kwenye tv kang'aa kama kaoga mafuta.
Sauti sasa ukisikia sauti ya pistol au bunduki ni kituko utadhani Honi.
Subtitles lahaula.! Ni aibu kubwa Kwakwel
Wachina na wakorea advantage kubwa waliyonayo ni kwamba walichelewa kupiga hatu za kimaendeleo hasa maendeleo ya vitu! Hii imewafanya kuwa bado wana yale maeneo yao ya asili na nyumba zao za asili mpaka leo. Lakini pia jamii ya wachina,wakorea,wajapan ni watu wanaopenda sana utamaduni wao na wanauhifadhi popote walipo hivyo hii ilisaidia kutunza maeneo yao ya asili yasiharibiwe na maendeleo.Labda na wachina wana hayo maeneo.pia behind the scene kwa baadhi ya movie zao huwa wanaonesha ni vijiji vya zamani kabisa.
Wenzetu wamepiga hatua mno kwenye hii sekta, sio mapenzi, animation, action yani kote wako safi.
Kwakwel mimi mwenyewe inanifanya nazidi kupenda. Ndio maana nasema Avangers endgame kila kitu ilikua ndani studio ila bado uhalisia upo vile vile kama wapo njeNimeona wadau hapo hiyo kujua jinsi wanavyofanya imewapunguzia morali lakini kwangu ndo kwaanza nazidi kuipenda movie hasa action movie ule uongo na tech inayotumika hasa ile inayoendana na ukweli huwa napenda mnoo.
Kweli kabisa kuna soundtrack ukizisikia unajua kabisa hii ni muvi ya kanumba!na soundtrack zile zile kila movie
issue kubwa inaanzia toka kwenye script,bahati nzuri niko karibu na mwandishi mzuri wa script kuanzia story building mpka dialogues....ameandika TALAKA ambayo ilianzwa kuoneshwa DSTV nadhani 2014,then ikapelekwa Startimes,Nadhani mwaka jana pia niliona imepelekwa tena KTN KenyaKweli kabisa kuna soundtrack ukizisikia unajua kabisa hii ni muvi ya kanumba!
Swala la Patent right na Copyright hawalipi kipaumbele sana anagalau hivi sasa hii tabia wameiacha wanaajiri watu wa kuCompose main theme kwa ajili ya tamthilia zao
Sasa mkuu director ameanzia kushoot kwenye harusi then akaona kashakua mtaalamu wewe unategemea nini hapo? Kwanza bongo hakuna mgawanyo wa majukumu unakuta director ni huyo, Cinematographer ni huyo,Pengine hadi kuigiza aaigiza yeye.issue kubwa inaanzia toka kwenye script,bahati nzuri niko karibu na mwandishi mzuri wa script kuanzia story building mpka dialogues....ameandika TALAKA ambayo ilianzwa kuoneshwa DSTV nadhani 2014,then ikapelekwa Startimes,Nadhani mwaka jana pia niliona imepelekwa tena KTN Kenya
Pia ameandika Ep 16 za mwanzo za 'UHURU NA GHARAMA ZAKE' ilikuwa ikioneshwa Azam,
Kwa uzoefu wake anasema mazingira ya bongo ni ngumu mno kutengeneza story iliyo competant coz unakuta kwenye script umeandika character flan aonekane anaendesha gari la hadhi ya juu Director anaenda kuchukua NOAH,Unaandika kwenye script scene flani ishutiwe usiku na shot ichukuliwe kwenye angle flan,Director tena anashoot mchana anashusha mapazia na hazingatii angle aliopewa ya shot anafanya anavyojiskia kiasi cha kwamba mwisho wa siku story inakosa mvuto wa mawazo halisi ya mwandishi
Screenwriting nenda kwenye Tamasha la MAISHA Zanzibar...kuna ma mentor wazuri toka Uganda + KenyaSasa mkuu director ameanzia kushoot kwenye harusi then akaona kashakua mtaalamu wewe unategemea nini hapo? Kwanza bongo hakuna mgawanyo wa majukumu unakuta director ni huyo, Cinematographer ni huyo,Pengine hadi kuigiza aaigiza yeye.
Binafsi moja ya ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi Screenwriting japo sina abc nikipata bahati nikaenda huko duniani kama nikisoma hichi ndio nitakachosomea maana I'm very good in "Thinking and imaging"
Ngoja tuone huko miaka 60 ya uhuru mingine labda tutapiga hatua
Mkuu naona kama kwa afrika hii nikijifunza hichi kitu sitapata kile nachotaka. Ndio maana option yangu ni UK or Us basi kama itashindikana huko basi nitaachana na hili wazo maana hata aina ya vitu navyofikiria kutengenezea Film adaptation kwa bongo au afrika technology au bajeti yake hatumudu.Screenwriting nenda kwenye Tamasha la MAISHA Zanzibar...kuna ma mentor wazuri toka Uganda + Kenya
kuna Dir mmoja hapo anaitwa Kajetan Boy yuko vyema utapata pia na exposure
Hahahaaa wala hata sijaeleza kwa undani sana maana hasa hapo kwenye chroma key jinsi RGB colors zinavyowezak kubadirika nkNothing to add,mleta uzi huenda hata wewe umekuwa computerized,umeelezea vitu vigumu sana kukuelewa,anyway! acha nimeze hivyo hivyo.
waweza fanya hivyo........ukatengeneza kitu kama Shujaaz,Jarida la Forbes etcMkuu naona kama kwa afrika hii nikijifunza hichi kitu sitapata kile nachotaka. Ndio maana option yangu ni UK or Us basi kama itashindikana huko basi nitaachana na hili wazo maana hata aina ya vitu navyofikiria kutengenezea Film adaptation kwa bongo au afrika technology au bajeti yake hatumudu.
Au nihamishie upande wa uandishi tu kawaida..kuandika Majarida, Article, Books. Connection sasa🤔