Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Asante Sana mleta mada,
Ila Hii kitu sidhan Kama Ni rahisi kuitekeleza kama unavoielezea.

Wachina, wahindi, wakorea n.k wanatpa muvi kila kukicha.

Ilahata wachina udukuzi wao kwenye technology,bado wameshindwa kabisa kutengeneza muvi quality kama za hawa Hollywood.

Hii teknolojia nmeoiona kwnye muvi pia ya RoboCop (miaka ya 1960s)

Ila mpaka leo mataifa kibao bado wanafeli kutoa muvi Kama hizo.

Nadhan Hollywood wameifanya Hii kitu siri yao.

Unalizunguziaje hili
 
Thanks for compliments pal✌️
Sio rahisi ndio na ni ghali hasa, pia inahitaji elimu. Mimi nimeeleza basic tu ili wale wasiojua wajue kinachoendelea nyuma ya pazia.
Hayo mataifa yote ukiyotaja bado sana maana hii teknlojia imeanzia kwa wazunhu. Ahindi anagalau wameanza kuijua jua VFX miaka ya 2010. Naweza sema inawezekana wameiwwka hii teknlojia original kwa ajili yao ili wasijiharibie soko la muvi maana china na India ndio masoko makubw hasa kwenye film.

Lakini kiukweli mchina bado sana kwenye utengenezaji wa muvi kwa kutumia
VFX at large ndio maana muvi zao ni za kawaida. Hata ukiangalia muvi zao zenye mauzo sana ni zile zilizotengenezwa bila matumizi makubwa ya VFX.
Ila nawapongeza wachina wapp Vizuri sana na wanakuja kwa kasi sana kwenye upande wa Animation, yaani wanajitahidi sana. Pixar na DreamWorks wajipange kushindana.

Kwa mfano ukiangalia hii muvi unaweza kujua ni watu real, kuanzia schematic hadi muonekano, yaani zile details ndogo ndogo ambazo mwanadamu anakua nazo kama vipele, vinyweleo, Kubabuka kwa ngozi nk unaviona kabisa.

images (50).jpeg
images (51).jpeg
images (52).jpeg
 
Kuna wadau unamkuta mtu anakuwa emotional hadi kufikia kulia 😁, Kusikitika, au kuhuzunika sana. Akiamini kilicho tokea ni kweli.

Ila mimi aisee sina upenzi na siwezi kuangalia movie zenye mambo ya kufikirika (Fiction).
 
Hii hali hua yanikuta sana kwa sababu nikiangalia muvi/Series hua nazama kabisa ndani yake nakua kama nami ni mmoja wa character. Hii Hali ilinipata kwenye series ya walking dead wakati Glenn anauawa. Sababu ya kua naingia ndani ya series ndio pia ilinifanya nisiwe nasoma simulizi. Maana nyingi zasikitisha na muvi za kusikitisha hua sitazami

This scene was too hard for me 😞
FB_IMG_16284378421728446.jpg
FB_IMG_16284378996413593.jpg
 
Na wahindi nao wanatumia kitu gani maana wale jamaa ni noma.
Inapigwa risasi MTU anapiga kelele kumuita stering alafu jamaa yupo mbali anajiandaa,anapanda gari anapanda trecta risasi bado haijafika
😅😂Wakina kajibhai ni waongo si una mpaka wakaleta na betting wanatuchangianyia tu miodds ukiweka umeingia chaka🤭😁
 
Hivi Davinci hawa jamaa waigizaji wao si wamesomea wote hizo kwenye hizi fani za uigizaji, nikiwaona vile wanachofanya natamani kweli niigize filamu za Hollywood,
Mkuu waigizaji wengi wamepita vyuo vya uigizaji hasa wanaotoka UK.
Nadhani masuala ya VfX hufundishwa kama basic maana waigizaji hawahusiki kwenye Post Production unless mwigizaji huyo awe ni Producer pia!
 
Nilichoka nilivyokuja kujua Titanic iliigizwa Kwenye swimming pool na hapo ilikua miaka ya 90 huko Yan bongo kufika hizo level itachukua muda sana
Mkuu niliona kuna kwenye titanic maji yalivyoingia ndani milango ikawa inafumuka, nikaona behind the scenes nikachoka, yani wametengeneza vimilango vidogo kweli harafu kuna limpira linaachia maji kama ya zimamoto yananguvu kweli ndo yanavisukuma vile vi milango harafu kuna camera ndogo inakimbia speed kweli kuchukua hiyo scene nikasema huyu bwana James atatuua😂😂
 
Back
Top Bottom