Thanks for compliments pal✌️Asante Sana mleta mada,
Ila Hii kitu sidhan Kama Ni rahisi kuitekeleza kama unavoielezea.
Wachina, wahindi, wakorea n.k wanatpa muvi kila kukicha.
Ilahata wachina udukuzi wao kwenye technology,bado wameshindwa kabisa kutengeneza muvi quality kama za hawa Hollywood.
Hii teknolojia nmeoiona kwnye muvi pia ya RoboCop (miaka ya 1960s)
Ila mpaka leo mataifa kibao bado wanafeli kutoa muvi Kama hizo.
Nadhan Hollywood wameifanya Hii kitu siri yao.
Unalizunguziaje hili
Hii hali hua yanikuta sana kwa sababu nikiangalia muvi/Series hua nazama kabisa ndani yake nakua kama nami ni mmoja wa character. Hii Hali ilinipata kwenye series ya walking dead wakati Glenn anauawa. Sababu ya kua naingia ndani ya series ndio pia ilinifanya nisiwe nasoma simulizi. Maana nyingi zasikitisha na muvi za kusikitisha hua sitazamiKuna wadau unamkuta mtu anakuwa emotional hadi kufikia kulia 😁, Kusikitika, au kuhuzunika sana. Akiamini kilicho tokea ni kweli.
Ila mimi aisee sina upenzi na siwezi kuangalia movie zenye mambo ya kufikirika (Fiction).
mkuu hii sinema inaitwaje nikaicheki?Wabongo sio waongo ila hua wanaigiza vitu visivyo na uhalisia kwenye jamii hapo ndio tunawaona waongoView attachment 2095343
ni mwendo wa vidoti mkuuGharama ya hivyo vifaa ni kiasi gani?
Vipi zile scene zenye ajali huwa wanatumia toy car au ni real car?
shukrani mkuu!Inaitwa the beauty and the beast ya 2017
😅😂Wakina kajibhai ni waongo si una mpaka wakaleta na betting wanatuchangianyia tu miodds ukiweka umeingia chaka🤭😁Na wahindi nao wanatumia kitu gani maana wale jamaa ni noma.
Inapigwa risasi MTU anapiga kelele kumuita stering alafu jamaa yupo mbali anajiandaa,anapanda gari anapanda trecta risasi bado haijafika
Mkuu waigizaji wengi wamepita vyuo vya uigizaji hasa wanaotoka UK.Hivi Davinci hawa jamaa waigizaji wao si wamesomea wote hizo kwenye hizi fani za uigizaji, nikiwaona vile wanachofanya natamani kweli niigize filamu za Hollywood,
Hii teknolojia imeanza miaka ya 70 kama ulikua unatazama muvi za Star Trek na Star WarsNilichoka nilivyokuja kujua Titanic iliigizwa Kwenye swimming pool na hapo ilikua miaka ya 90 huko Yan bongo kufika hizo level itachukua muda sana
Mkuu niliona kuna kwenye titanic maji yalivyoingia ndani milango ikawa inafumuka, nikaona behind the scenes nikachoka, yani wametengeneza vimilango vidogo kweli harafu kuna limpira linaachia maji kama ya zimamoto yananguvu kweli ndo yanavisukuma vile vi milango harafu kuna camera ndogo inakimbia speed kweli kuchukua hiyo scene nikasema huyu bwana James atatuua😂😂Nilichoka nilivyokuja kujua Titanic iliigizwa Kwenye swimming pool na hapo ilikua miaka ya 90 huko Yan bongo kufika hizo level itachukua muda sana