Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

Kuna wadau unamkuta mtu anakuwa emotional hadi kufikia kulia 😁, Kusikitika, au kuhuzunika sana. Akiamini kilicho tokea ni kweli.

Ila mimi aisee sina upenzi na siwezi kuangalia movie zenye mambo ya kufikirika (Fiction). Fic
Huu mzigo niliishia njiani aiseee...
 
Titanic 😁😁😁 hii dunia kunawatu hawaendi mbinguni kwa wanacho tufanyiaa😁😁😁
 
Mkuu hii idea ya thread yako ni nzuri sana, wengi watapata mwanga na elimu kwa kiasi chake kuhusu technology ya movie hasa kwa wenzetu.
 
Nafikiri suala ni uwekezaji tu,naamini wataalam wapo. Suala la kujiuliza kwanini matajiri hawawekezi kwenye hii Tasnia?,au hailipi?.
 
Hali kama hiyo ilinikuta kwenye series ya American Scandal. Mpaka leo nikiwaona characters kwenye page zao za Twitter na Instagram nahisi kabisa nafahamiana nao personally.
 
Si zote nyingine zipo kwenye site tofauti na YouTube.

Labda kama unaongelea darasa (japo si kwa kina) kuhusu VFX na GFX.
Darasa lipo na mengine kwenye websites nyingi tu. Yaani mtu akiamua kutaka kujua ni rahisi tu si jambo kuuuubwa
 
Nafikiri suala ni uwekezaji tu,naamini wataalam wapo. Suala la kujiuliza kwanini matajiri hawawekezi kwenye hii Tasnia?,au hailipi?.
Haya tuseme bongo wataalam wapo na na teknolojia ipo pia. Je wewe upo tayari kununua muvi original kwa 10K???
Diamond alikua anauza nyimbo kwa sht 300. Ila ilibidi afunge platform hiyo pesa kidogo tu watu walishindwa kuitoa.

Nadhani sisi pia hatupo tayari kupokea vitu vyenye ubora, sio kwa kupenda bali hali zetu
 
Mkuu hii idea ya thread yako ni nzuri sana, wengi watapata mwanga na elimu kwa kiasi chake kuhusu technology ya movie hasa kwa wenzetu.
Kuna kitu kinaitwa stop motion animation, ukiona animation film imetengenezwa kwa mtindo huu heshimu sana maana ni kazi sana
 
Je hawa watu kama wanatumia technology kubwa kama hizi pia gharama nazo ni pesa ndefu !!! Huwa wanafaidika vipi namaanisha mauzo , maana naona kama movie moja inaweza kutengenezwa na watu kama 200 hivi [emoji2][emoji2] uwalipe waigizaji , maproducer , waandishi wa story , wasambazaji !! Kuna sisi pia tunadownload bure (hii sijui ikoje)
 
Vitu vya bure kupakua online mnapenda nyie waafrika ila wazungu hawapo hivo. Watu wanapesa mkuu kutoa $20000 kwenda kutazama muvi haoni ajabu.

Hii ni bajeti na mauzo ya muvi ya Spiderman No way home 2021, Je bado unadhani hawapati faida??
Budget
$200 millions
Box office
$1.739 billion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…