SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Kuna wadau unamkuta mtu anakuwa emotional hadi kufikia kulia 😁, Kusikitika, au kuhuzunika sana. Akiamini kilicho tokea ni kweli.
Ila mimi aisee sina upenzi na siwezi kuangalia movie zenye mambo ya kufikirika (Fiction). Fic
Ila mimi aisee sina upenzi na siwezi kuangalia movie zenye mambo ya kufikirika (Fiction). Fic
Huu mzigo niliishia njiani aiseee...Hii hali hua yanikuta sana kwa sababu nikiangalia muvi/Series hua nazama kabisa ndani yake nakua kama nami ni mmoja wa character. Hii Hali ilinipata kwenye series ya walking dead wakati Glenn anauawa. Sababu ya kua naingia ndani ya series ndio pia ilinifanya nisiwe nasoma simulizi. Maana nyingi zasikitisha na muvi za kusikitisha hua sitazami
This scene was too hard for me 😞
View attachment 2096503View attachment 2096504