Jinsi TFF ilivyoamua kumuonea hadharani Feitoto na kuwatumikia Yanga Ni dhahiri zile ni hisia za bahasha kwenye ligi yetu

Nmeskia rais alimuomba fei jicho,akagoma[emoji13][emoji13][emoji13]kasema harudi bora akavue vibua
 
Nmeskia rais alimuomba fei jicho,akagoma[emoji13][emoji13][emoji13]kasema harudi bora akavue vibua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watuuu mmmh hapanaaa.
Rais ana kidampa wakee bhanaaa, hawezi muomba fei, lol
 
Ukiwa na mkataba wa miaka miwili ukatumikia miezi 4 unapaswa kulipa miezi 20 ambayo hujaifanyia kazi. Mikataba ya kibongo mikataba ya kibongo hovyo. FEI mda unamtupa waelewane wamuuze timu yeyote
 
Tuache ujinga sisi Yanga. Fei anataka maisha bora aende. Ni Ujinga kusema kaikosea Yanga.
Wewe ndiye mpuuzi, hivi kwakuwa anataka maisha ndio aondoke pasina kufuata utaratibu??. Kamasi kabisa hili jamaa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watuuu mmmh hapanaaa.
Rais ana kidampa wakee bhanaaa, hawezi muomba fei, lol

We unamjua rais !?[emoji28][emoji28]alimuomba bhn
 
ulishawahi kusaini na kutumikia mkataba sehemu yeyote hapa duniani?
huwa unadai nyongeza ya malipo (mfno kodi ya nyumba huwa inaongezwa katikati mwa mkataba)
unajua maana ya negotiation skills?
ukimtazama wewe fei aliziapply wakati wanajadiliana mkataba anaougomea?
 
Alivyotoka singida united kuja yanga singida walipata Nini?
 
Utajua nini wewe shabiki ambaye sharti ni lazima akili zako ziwe za nyani?Ukipewa ndizi na hela unachukua nini kama si ndizi ambayo unataka na Fei aifurahie?

Timu yako ilimkosea Fei kwa kukataa kumuuza waarab walivyoweka miiloni 600 na Fei kuahidiwa mshahara mkubwa.
Bado alijadiliana nao kuhusu kuongezwa mshahara lakini walimpuuza.
Jambo ambalo hulijui,Fei hakutaka kuonesha kisirani na alicheza kwa moyo hadi mwisho ndio maana wapuuzi kama wewe unaona hali ilikuwa shwari.
Kifupi Fei aliiheshimu yanga lakini yanga ilimdharau na kumpuuza.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
I hii kesi iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…