Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Wazenji wana jifanya wameshika dini lakini wanapenda ngono sana
 
Siwezi kbisa kuchu kua maji na kuchamba. Ukigusa kinyesi bahati mbaya unapotumia karatasi hata unawe na sabuni harufu haiishi. Je kushika na kuosha sehemu yote na vimaji vya kopo moja itaisha? Mmezoea harufu.

Wewe huna akili hata za kuvalia nguo za ndani.....Katika Uislam ni wapi umeoneshwa unawe na kikopo kimoja?
Iko hivi unatakiwa uwe na maji ya kutosha na sio yasiyotosheleza....
 
Waislamu wasiogope competition ya kiimani toka dini zingine. Waache watu wayashinde majaribu ya kujizuia kula.
Mkuu una tania ama ili mtu ashinde jaribu kiroho anatakiwa awe kajengwa kwamba ajue namna ya kuweka vitu kiroho
Sasa mtu kafocus kwenye mwili unafkiri bila kuzuiana si watakula kabisa kabisa😅😅😅
 
Kuna operational modes mbili tu ambazo muumini anaweza kuzitumia kwenye mambo ya imani. Kuna MANUAL MODE ambayo inakuwa governed na sheria zilizowekwa na wanadamu ambazo ukizivunja unaweza hata ukapata adhabu, halafu pia kuna AUTO MODE; mode ambayo iko governed na ROHO MTAKATIFU na ambayo huwa inakuwa controlled kutoka rohoni kwa mwanadamu na pasipo kutegemea sheria zilizotungwa na wanadamu

Tuseme kwa mfano. mtu akiacha kutenda dhambi kwa sababu anaogopa atachapwa viboko, hapo atakuwa ana-operate kwa kutumia MANUAL MODE ila ukiacha kuiba kwa sababu unaona kufanya hivyo ni dhambi na kwamba unaona huruma kumuibia mtu mwingine, hapo utakuwa una-operate kwanye AUTO MODE!
 
Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida.

Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa, ukiwa Mwanakwerekwe napo inabidi uende pale Kanisani, ukiwa maeneo ya Mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula, ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula, nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama una familia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa.

Lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe haiguswi na hii dhihaka, wazungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote, ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Waache upuuzi na ushenzi

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nadhani kunatatizo kwa jamii ya Wazanzibar nahisi kuna uhuni kwa kisingizio cha dini.

Uislamu haujawa mgumu kiasi cha kutesa watu namna hiyo nadhani ifike wakati wanazuoni walitolee ufafanuzi hili suala liletalo mateso kwa wale ambao wanateseka ambao kwa namna moja ama nyingine hawawezi kufunga
 
Unauziwa chakula kama bangi![emoji1787][emoji1787]
 
Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida.

Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa, ukiwa Mwanakwerekwe napo inabidi uende pale Kanisani, ukiwa maeneo ya Mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula, ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula, nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama una familia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa.

Lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe haiguswi na hii dhihaka, wazungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote, ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
huu ndio unafiki wa ajabu, mzungu kwasababu ni mtalii anakula na kufanya apendavyo, ila mweusi kwasababu mtu wa bara au mkristo, anapigwa. hii dini ni ushetani kabisa.
 
Back
Top Bottom