Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

Kwa hivyo, Wajumbe wote wa Bunge la Katiba ni Batili, JK na serikali yake ni Batili, Buchanan ni Batili, na watanzania wote ni BATILI...!!

Sasa Buchanan mimi najiuliza, tumeshajua kila kitu kilichopo ni batili kama ulivyosema by quoting Lissu, nani atauondoa huo ubatili?.

Me nadhani tuuache huu UBATILI tusirekebishe chochote tumsubiri Nyerere na Karume waje waundoe, kwa maana sisi wote ni BATILI , hatuna Legitimate ya kurekebisha UBATILI.
 

Achana na mambo ya kampeni, sisi tunazungumzia UBATILI wa Muungano na consequences zake!
 

Ni maoni yako, siwezi kuyapinga, japokuwa hayatekelezeki! Tundu Lissu ajue kwamba tukiamua ku-rewind mkanda hatutafikia muafaka, he is smart enough to know that!
 
Utarekebishaje kwa utaratibu BATILI mkuu, maana mpaka sasa Bunge Maalum la Katiba ni BATILI, labda tumuulize "Mwanasheria Nguli" Tundu Lissu atuelimishe pa kuanzia!

Mbona unaandika kama mjumbe wa bunge la katiba upande wa serikali 2? Huko ndo naona hoja kama hizi. Nimekuwa nikiwalaumu kwamba hawana muda wa kujifunza toka kwa wenye uwezo lakini ninachoona hapa ni kwamba hata uwezo wa kujifunza haupo kabisa!

siasa hizi zimeharibiwa na sifa ya kujua kusoma na kuandika tu. Matokeo yake sasa hata kupiga vigelegele ni mchango tosha bungeni. Wewe mtu wa JF unawezaje kusema Tundu Lisu aligombea ubunge wa bunge la jamuhuri ya muungano? Kuna mbunge wa aina hiyo hapa TZ?

Kwa uelewa wa aina hii, nchi hii haifiki popote kabisa!
 


Kwa hiyo Tundu Lissu aligombea ubunge wa Bunge gani?
 
Kawaida nikiona Pumba huwa napita tu. Ila nimeona nikueleze ili usije ukazipeleka mbele za watu kama hoja make ni very very very weak. Hazina mashiko, they sound like Jokes. Kawaida sheria inafanya kazi kwa wakati huo (husika), mabaliko yakitokea mpya hufanya kazi. Mf (sio halisi) kuuza nguo za mtumba ni marufuku Tz, ila ikitokea madiliko sheria ikaruhusu kuuzwa kwa nguo za mtumba Tz si kosa kwa wakati huo wala zamani!!!!
 
Ukiwa ndani ya ccm unaona nyeusi ndio nyeupe kama huyu Buchanan

Muungano BATILI unaweza kuunda Taasisi HALALI? Kama jibu lako litakuwa ni ndio basi Tanganyika iliuawa KIHALALI!! Haya leta hoja yako kwa kuanzia na hilo!
 

There you are!! Kama Sheria huwa zinafanya kazi kwa wakati husika, basi kwa nini Tundu Lissu amedai kuwa Muungano wetu SI HALALI KISHERIA?
 
The guy has a valid point but he used a wrong approach to present that idea.
 
Nimegundua ata we uelewa wako NIBATILI maana hujaelewa Lisu aliyokuwa anaongea! mi nakubaliana na hotuba ya Lissu kwamba muungano wetu ni batili maana kama usingekuwa batili Nyerere angepeleka hati ya muungano umoja Wa mataifa
 
Nimegundua ata we uelewa wako NIBATILI maana hujaelewa Lisu aliyokuwa anaongea! mi nakubaliana na hotuba ya Lissu kwamba muungano wetu ni batili maana kama usingekuwa batili Nyerere angepeleka hati ya muungano umoja Wa mataifa

Mkuu kama unadai sijamwelewa Tundu Lissu mbona unakubaliana na mimi? Na kama unakubali kuwa Muungano ni BATILI unakubali pia kwamba Taasisi zote za Muungano ni BATILI including mchakato wa sasa wa Katiba Mpya kwa kuwa umeanzishwa na Sheria ya Muungano BATILI?
 

Huyu nae ni great thinker!
 

Basi kama hayo yote uliyoyaorodhesha ni BATILI, Tundu Lissu yuko sahihi kwa kuwafumbua macho wananchi hayo mambo uliyoyaorodhesha na kuita BATILI kuliko watu wasiambiwe ukweli. Basi ni muda muafaka wa kuyarekebisha kisheria ili kuyatoa kwenye huo UBATILI hadi kwenye UHALALI.
 
Buchanan

Huko nyuma uthibitisho wa uhalali wa Muungano ulikuwa kama "Holy Gray". Lakini kupitia Bunge maalum katiba mambo yamefumuka hasa baada ya kuwasilisha saini ya Julius wa "Mtaa wa Samora!"

Hivyo kama unatak kumpinga Lissu inabidi ulete Hati halisi ya Muungano. Otherwise hoja ya Lissu inasimama.
 
Last edited by a moderator:

Kinachonishangaza ni pale Tundu Lissu anapomtunishi msuli Baba wa Taifa wakati yeye Tundu Lissu ameshiriki kutunga Sheria Batili, Kujiunga na Chama BATILI, nk!
 
Utarekebishaje kwa utaratibu BATILI mkuu, maana mpaka sasa Bunge Maalum la Katiba ni BATILI, labda tumuulize "Mwanasheria Nguli" Tundu Lissu atuelimishe pa kuanzia!

Kila kitu kifutwe tuanze upya. Pia kura ya maoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…