Mkuu Buchanan,
Nina hoja 3.
1.Ubatili wa suala lolote la kisheria, hutangazwa na mahakama, hivyo as long as bado hakuna mahakama yoyote yenye uwezo wa kuhoji muungano, hata kama kweli ni balita, tutaendelea kuishi kwenye ubatili huu hadi pale a court of competent jurisdiction itakapo undwa na kutangaza rasmi muungano ni batili!.
2. Japo Mhe. Tundu Lissu ni mwanasheria nguli, amekosea kuita muungano ni batili, muungano sio batili bali ni voidable not void!. Hata ndoa ikifungwa bila kuwa consummated, inakuwa ni voidable married na sio void, ikifanikiwa kufanyika consummation, inageuka ndoa halali!, vivyo hivyo kwa muungano wetu ni voidable tuu not void, ukifanyiwa ratification ya Zanzibar, unakuwa muungano halali kabisa!.
3. Pamoja na matatizo yote ya uhalali wa muungano kisheria, muungano huu umepata uhalali by performance!. Kama ilivyo ndoa, ukimbaka mwanamke "B" bila ridhaa yake ni kosa la jina!, tena huyo mwanamke yuko kwenye nchi ya "sharia law", akipoteza "B" yake hawezi kupata mume!, na akipiga kelele, ikajulikana amebakwa, nyote wawili mtatolewa nje, mtapigwa mawe mpaka mfe!, hivyo kwanza mwanamke yule akaamua kujinyamazia tuu ukambaka mpaka hamu yako ikatosheka!. Na ikatokea ubakaji ule umemjaza yule mwanamke, hivyo kwanza ameishapoteza "B" yake, hawezi tena kuolewa, pili umeisha mjaza hivyo sooner or letter, atajulikana tuu " kwa mujibu wa sharia law" kosa sio kumjaza bali ni kupokea!, hivyo itakapochomoza, atakapondwa mawe hadi kufa ni mwanamke!. Kuliko hayo yote kumkuta, mwanamke huyo akaamua kujituliza tuu hapo kwake!. Kitendo cha kubakwa na ukaendelea kuwepo hapo na kuishi na huyo mwanaume kwenye "dhana ya ndoa", kunahesabika ni "consent" hata kama hamna shahada ya ndoa, baada ya miaka 2, ndoa hiyo inakuwa ni ndoa halali!.
Vivyo hivyo baada ya binti wa Kizenj kubakwa na kutulia tuli ndani ya ndoa hii ya ubakaji kwa miaka 50 sasa!, ndoa hii imehalalishwa by performance, kinachotakiwa kufanywa ni kusainisha tuu hiyo ratification ndani ya BLW na kila kitu kitakuwa supper!.
Pasco.