Buchanan
Huko nyuma uthibitisho wa uhalali wa Muungano ulikuwa kama "Holy Gray". Lakini kupitia Bunge maalum katiba mambo yamefumuka hasa baada ya kuwasilisha saini ya Julius wa "Mtaa wa Samora!"
Hivyo kama unatak kumpinga Lissu inabidi ulete Hati halisi ya Muungano. Otherwise hoja ya Lissu inasimama.
Kinachonishangaza ni pale Tundu Lissu anapomtunishi msuli Baba wa Taifa wakati yeye Tundu Lissu ameshiriki kutunga Sheria Batili, Kujiunga na Chama BATILI, nk!
Akiwa kama binadam, nae baba wa Taifa alikuwa na mapungufu yake, na mojawapo ni kutokuruhusu watu wasihoji muungano, hili ni kwa wale wenye fikra pevu watagundua mapungufu haya, ila kwa ushabiki mtu ataona ilikuwa sawa tu. Ilimradi ni binadam, lazima anamapungufu tu.
Mkuu Buchanan,Wakuu,
Haina shaka kwamba Hotuba ya Tundu Lissu imevuta hisia za washabiki wengi wa "Serikali 3/Nchi 3!" Pia nichukue nafasi hii kumpongeza Mheshimiwa huyo kwa kuwasilisha maoni ya wachache na kuchambua Sheria akienda sambamba na historia ya Muungano wetu tangu kuundwa kwake mpaka leo.Mwanasheria huyo nguli, kama baadhi wanavyomwita ameenda mbali sana, bila kuuma maneno akidai kwamba Muungano wetu wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika na iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hauna uhalali wowote wa kisheria kwa kuwa haukuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, hata kama uliridhiwa na Bunge la Tanganyika tu!
Amedai pia kwamba kwa sasa tufute Sikukuu ya Muungano wetu na kuanzisha "Siku ya Shirikisho!"Kwa hoja hizo za Lissu mimi sina ubavu wa kuzipinga kwa kuwa ametaja na vifungu vya kisheria vya wakati huo, tukubali tu kwamba Muungano HAUNA UHALALI WOWOTE WA KISHERIA!
Hata hivyo, Tundu Lissu alifikiri kwamba hoja hiyo inamu-implicate tu Nyerere ambaye amemtaja mara nyingi kwamba mambo mengi ameyafanya kwa AMRI YA RAIS. Mambo hayo ni kamba vile:
1. Jina la Nchi,
2. Kuiua Tanganyika,
3. Nembo ya Taifa, nk.
Kama Muungano hauna uhalali wowote maana yake nini?
1. Ni kwamba Tundu Lissu alifanya makosa kugombea ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano "BATILI," kwa hiyo Ubunge wa Lissu mpaka sasa ni "BATILI!"
2. Kwamba, hata mchakato huu wa kuandika Katiba Mpya ni "BATILI" kwa kuwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imetungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano" BATILI,"
3. Kwamba, Tundu Lissu amechangia kutunga Sheria "BATILI" za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa Bunge nalo ni "BATILI,"
4. Kwamba CHADEMA nacho ni chama "BATILI" kwa kuwa kimeundwa kwa Mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ambayo imetungwa na Bunge "BATILI" la Muungano,
5. Kwamba, shughuli zote za kisiasa za Tundu Lissu hazina uhalali wowote wa Kisheria kwa kuwa zimefanywa kwa kufuata Sheria za Muungano "BATILI,"
6. Kama Lissu ana vyeti vya Shule za Tanzania navyo ni "BATILI" kwa kuwa vimetolewa na Serikali "BATILI,"
7. Kama Tundu Lissu amezaliwa baada ya Muungano na kupewa Cheti cha Kuzaliwa ahesabu kuwa ni "BATILI" mpaka sasa,
8. Kesi zote alizoshinda Tundu Lissu mahakamani ajue kwamba ni "UBATILI" mtupu maana" MUUNGANO HUU NI BATILI," kwa hiyo hata mahakama za Muungano ni "BATILI,"
9. Kama Tundu Lissu ameoa baada ya Muungano ajue kuwa ameumia, ni ndoa "BATILI" hiyo!!!
10..................
Hongera sana Tundu Lissu kwa Hotuba Murua...............Ila usiendelee kuwepo kwenye BUNGE hilo "BATILI" kwa kuwa limeundwa na Sheria "BATILI!!!" Tafadhali sana, I am not joking, this time around!
Hizi ndio hoja za kumjibu Lissu....
Hahahaa. .. wapi Le Mutuz anisaidie kucheka.
Sitashangaa ukisema waliozaliwa Tanzania warudi matumboni kwa mama zao kwa kuwa walizaliwa nchi batili... wooi wooi... mmeshikwa pabaya.
Mkuu Buchanan,
Nina hoja 3.
1.Ubatili wa suala lolote la kisheria, hutangazwa na mahakama, hivyo as long as bado hakuna mahakama yoyote yenye uwezo wa kuhoji muungano, hata kama kweli ni balita, tutaendelea kuishi kwenye ubatili huu hadi pale a court of competent jurisdiction itakapo undwa na kutangaza rasmi muungano ni batili!.
2. Japo Mhe. Tundu Lissu ni mwanasheria nguli, amekosea kuita muungano ni batili, muungano sio batili bali ni voidable not void!. Hata ndoa ikifungwa bila kuwa consummated, inakuwa ni voidable married na sio void, ikifanikiwa kufanyika consummation, inageuka ndoa halali!, vivyo hivyo kwa muungano wetu ni voidable tuu not void, ukifanyiwa ratification ya Zanzibar, unakuwa muungano halali kabisa!.
3. Pamoja na matatizo yote ya uhalali wa muungano kisheria, muungano huu umepata uhalali by performance!. Kama ilivyo ndoa, ukimbaka mwanamke "B" bila ridhaa yake ni kosa la jina!, tena huyo mwanamke yuko kwenye nchi ya "sharia law", akipoteza "B" yake hawezi kupata mume!, na akipiga kelele, ikajulikana amebakwa, nyote wawili mtatolewa nje, mtapigwa mawe mpaka mfe!, hivyo kwanza mwanamke yule akaamua kujinyamazia tuu ukambaka mpaka hamu yako ikatosheka!. Na ikatokea ubakaji ule umemjaza yule mwanamke, hivyo kwanza ameishapoteza "B" yake, hawezi tena kuolewa, pili umeisha mjaza hivyo sooner or letter, atajulikana tuu " kwa mujibu wa sharia law" kosa sio kumjaza bali ni kupokea!, hivyo itakapochomoza, atakapondwa mawe hadi kufa ni mwanamke!. Kuliko hayo yote kumkuta, mwanamke huyo akaamua kujituliza tuu hapo kwake!. Kitendo cha kubakwa na ukaendelea kuwepo hapo na kuishi na huyo mwanaume kwenye "dhana ya ndoa", kunahesabika ni "consent" hata kama hamna shahada ya ndoa, baada ya miaka 2, ndoa hiyo inakuwa ni ndoa halali!.
Vivyo hivyo baada ya binti wa Kizenj kubakwa na kutulia tuli ndani ya ndoa hii ya ubakaji kwa miaka 50 sasa!, ndoa hii imehalalishwa by performance, kinachotakiwa kufanywa ni kusainisha tuu hiyo ratification ndani ya BLW na kila kitu kitakuwa supper!.
Pasco.
Mkuu The Boss, umeona ehe!. Tangu alipowaingiza Chaka Chadema kwa kutoa go ahead ya kuipitisha sheria ya mabadiliko ya katiba badala ya kuizuia, nilimface head on face to face na kumuuliza kwanini alitoa maoni ya kammbi ya upinzani badala ya kuwasilisha pingamizi rasmi, alinijibu kwenye maoni yale, last line alisema wanapinga!. Nilichoka, maoni yale ni go ahead ya sheria ile kupita ambayo sasa ndio hii inayotuletea madudu yote haya!, maoni ni maoni, na pingamizi ni pingamizi!,Lissu anaanza kufanana na Lema..noises nyiingi but substance kidogo
Kama kuna mtu atadai kwa implication kwamba watu warudi matumboni ni huyo "Mwanasheria nguli" wenu, sio mimi!
Mkuu Buchanan,
.......ndoa[muungano] hii imehalalishwa by performance, kinachotakiwa kufanywa ni kusainisha tuu hiyo ratification ndani ya BLW na kila kitu kitakuwa supper!.
Pasco.
Mimi nakubali hayo Makosa ya Mwalimu! Tundu Lissu asikalie kiti cha hukumu kuhukumu wengine huku yeye akijinasibu kama vile yuko "safe side!"
nitacheka sana kama kesho au huko mbeleni kuna mjumbe atakuja na hoja vihiyo ka hizi kwenye bunge la katiba akiwa na lengo la kujibu au kupanga hoja za Lisu. Binasfi nigeanza kuzipangua hapa hapa ila ngoja nivute subra kwanza. al ze best to yu, ikiwezekana mpe Kigwangala au Nchemba ndio huwa wazee wa kumezeshwa wajenazo kesho bungeni.Wakuu,
Haina shaka kwamba Hotuba ya Tundu Lissu imevuta hisia za washabiki wengi wa "Serikali 3/Nchi 3!" Pia nichukue nafasi hii kumpongeza Mheshimiwa huyo kwa kuwasilisha maoni ya wachache na kuchambua Sheria akienda sambamba na historia ya Muungano wetu tangu kuundwa kwake mpaka leo.Mwanasheria huyo nguli, kama baadhi wanavyomwita ameenda mbali sana, bila kuuma maneno akidai kwamba Muungano wetu wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika na iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hauna uhalali wowote wa kisheria kwa kuwa haukuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, hata kama uliridhiwa na Bunge la Tanganyika tu!
Amedai pia kwamba kwa sasa tufute Sikukuu ya Muungano wetu na kuanzisha "Siku ya Shirikisho!"Kwa hoja hizo za Lissu mimi sina ubavu wa kuzipinga kwa kuwa ametaja na vifungu vya kisheria vya wakati huo, tukubali tu kwamba Muungano HAUNA UHALALI WOWOTE WA KISHERIA!
Hata hivyo, Tundu Lissu alifikiri kwamba hoja hiyo inamu-implicate tu Nyerere ambaye amemtaja mara nyingi kwamba mambo mengi ameyafanya kwa AMRI YA RAIS. Mambo hayo ni kamba vile:
1. Jina la Nchi,
2. Kuiua Tanganyika,
3. Nembo ya Taifa, nk.
Kama Muungano hauna uhalali wowote maana yake nini?
1. Ni kwamba Tundu Lissu alifanya makosa kugombea ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano "BATILI," kwa hiyo Ubunge wa Lissu mpaka sasa ni "BATILI!"
2. Kwamba, hata mchakato huu wa kuandika Katiba Mpya ni "BATILI" kwa kuwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imetungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano" BATILI,"
3. Kwamba, Tundu Lissu amechangia kutunga Sheria "BATILI" za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa Bunge nalo ni "BATILI,"
4. Kwamba CHADEMA nacho ni chama "BATILI" kwa kuwa kimeundwa kwa Mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ambayo imetungwa na Bunge "BATILI" la Muungano,
5. Kwamba, shughuli zote za kisiasa za Tundu Lissu hazina uhalali wowote wa Kisheria kwa kuwa zimefanywa kwa kufuata Sheria za Muungano "BATILI,"
6. Kama Lissu ana vyeti vya Shule za Tanzania navyo ni "BATILI" kwa kuwa vimetolewa na Serikali "BATILI,"
7. Kama Tundu Lissu amezaliwa baada ya Muungano na kupewa Cheti cha Kuzaliwa ahesabu kuwa ni "BATILI" mpaka sasa,
8. Kesi zote alizoshinda Tundu Lissu mahakamani ajue kwamba ni "UBATILI" mtupu maana" MUUNGANO HUU NI BATILI," kwa hiyo hata mahakama za Muungano ni "BATILI,"
9. Kama Tundu Lissu ameoa baada ya Muungano ajue kuwa ameumia, ni ndoa "BATILI" hiyo!!!
10..................
Hongera sana Tundu Lissu kwa Hotuba Murua...............Ila usiendelee kuwepo kwenye BUNGE hilo "BATILI" kwa kuwa limeundwa na Sheria "BATILI!!!" Tafadhali sana, I am not joking, this time around!
Wakuu,
Hongera sana Tundu Lissu kwa Hotuba Murua...............Ila usiendelee kuwepo kwenye BUNGE hilo "BATILI" kwa kuwa limeundwa na Sheria "BATILI!!!" Tafadhali sana, I am not joking, this time around!
Mkuu FJM, ndoa zote zina matatizo, ukifanikiwa kumtuliza mkeo kwa vibao, kichapo, kisago, au kumshikisha adabu kwa kumfungia ndani na ndoa ikadumu hadi leo ni miaka 50!, hatua hizo ndiko kudumisha ndoa kwenyewe!. Mimi binafsi niko upande wa kutaka serikali moja, hizi kele sasa zimezidi, kama tuliweza kumtuliza mke pale mwanzo, tumtulize tena, this time tumlize jumla!, heshima adabu!.Pasco,
Zanzibar haijawahi 'kutulia tuli'. Aboud Jumbe yuko Mji Mwema, why?
Ndio wewe hapo unayesema eti kwa kuwa Lissu alisema muungano ni batili basi kila alichopata ndani ya muungano ni batili na hakistahili kutambuliwa. Hivi mazee wewe ukigundua nyumba uliyopo sasa kuna sehemu wakandarasi hawakugonga msumari utajihesabu kwamba "hujawahi kuishi kwenye nyumba maisha yako yote" au utaurekebisha uendelee kuishi?