Erwin Rommel
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 429
- 116
Mkuu Buchanan nimesoma andiko lako mara mbili mbili,nimeshindwa kubaini hoja yako dhidi ya Lissu ni nini haswa.Labda nianze na maelezo mafupi sana ambayo yanaweza kuondoa sintofahamu ya kile Mheshimiwa Lissu alichosema.
Muungano wa Jamhuri ya Tanganyika na ile ya Zanzibar haukufuata taratibu za kisheria.Ikiwa taratibu hazikufuatwa maana yake ni moja nayo muungano wetu ni batili.JMT imeishi kwa zaidi ya nusu karne sasa katika hali ya kutishana,usiri,kufukuzana na nk kwasababu wahasisi walijua muungano walioujenga hakuwa halali wakamua kufuata njia ya vitisho na ndicho kinachoendelea katika bunge la katiba waumini wa serekali 2 hawana hoja wanatumia vitisho zaidi kwakuwa hoja zao hazina mashiko.
Kama tumeishi hivyo alivyosema, je tuendelee hivyo hivyo. Nadhani ni nafasi nzuri na ya kipekee kujirekebisha. Hapa ndipo pale mkuu wa nchi anaposema changanya na za kwako. Walifanya hivyo tuchanganyeni zetu - turekebishe UBATILI huu wote
Waswahili wako more down to earth.Lissu anaanza kufanana na Lema..noises nyiingi but substance kidogo
yani hapo kwnye point 1 hadi 10 ni pumba hadi nimeshindwa kusoma points zote, naona maneno meng yenye points dhaifu sana.
There you are!! Kama Sheria huwa zinafanya kazi kwa wakati husika, basi kwa nini Tundu Lissu amedai kuwa Muungano wetu SI HALALI KISHERIA?
KIGWANGALLA ndo saizi yake
Lissu anaanza kufanana na Lema..noises nyiingi but substance kidogo
Mkuu dawa ya moto ni moto!
Sijapata kuona kilaza kama wewe.kama tulisema ukoloni ni batili na waliotawaliwa ni batili.if you want to win somebody join him.
ukiwacna akili kiduchu huwezi kumielewa Lissu.
Eti ndo Nguli wa sheria huyu. Anapayuka mno!Lissu anaanza kufanana na Lema..noises nyiingi but substance kidogo