Erwin Rommel
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 429
- 116
CCM hamna hoja kabisaaaaa!!!! Semeni mna wingi wenu tu katika Bunge la Katiba, wingi alioutengeneza JK kimakusudi. Hamuwezi kushindana na Lissu hata siku moja! Kuna mmoja (Shekifu nadhani) eti katoa hoja kwamba Lissu alimdhihaki Nyerere! Kuna watu wanaomdhihaki Nyerere zaidi ya nyie MaCCM? Mmeacha mafundisho ya maadili yake, miiko ya uongozi na kujichimbia katika ufisadi unaoliangamiza taifa? Huko ni kumdhihaki Nyerere!