Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Tokea umefungiwa Ndani na zitto naona umepagawaLissu anaanza kufanana na Lema..noises nyiingi but substance kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tokea umefungiwa Ndani na zitto naona umepagawaLissu anaanza kufanana na Lema..noises nyiingi but substance kidogo
Tokea umoderator uote mbawa naona umepagawaWakuu,
Haina shaka kwamba Hotuba ya Tundu Lissu imevuta hisia za washabiki wengi wa "Serikali 3/Nchi 3!" Pia nichukue nafasi hii kumpongeza Mheshimiwa huyo kwa kuwasilisha maoni ya wachache na kuchambua Sheria akienda sambamba na historia ya Muungano wetu tangu kuundwa kwake mpaka leo.Mwanasheria huyo nguli, kama baadhi wanavyomwita ameenda mbali sana, bila kuuma maneno akidai kwamba Muungano wetu wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika na iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hauna uhalali wowote wa kisheria kwa kuwa haukuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, hata kama uliridhiwa na Bunge la Tanganyika tu!
Amedai pia kwamba kwa sasa tufute Sikukuu ya Muungano wetu na kuanzisha "Siku ya Shirikisho!"Kwa hoja hizo za Lissu mimi sina ubavu wa kuzipinga kwa kuwa ametaja na vifungu vya kisheria vya wakati huo, tukubali tu kwamba Muungano HAUNA UHALALI WOWOTE WA KISHERIA!
Hata hivyo, Tundu Lissu alifikiri kwamba hoja hiyo inamu-implicate tu Nyerere ambaye amemtaja mara nyingi kwamba mambo mengi ameyafanya kwa AMRI YA RAIS. Mambo hayo ni kamba vile:
1. Jina la Nchi,
2. Kuiua Tanganyika,
3. Nembo ya Taifa, nk.
Kama Muungano hauna uhalali wowote maana yake nini?
1. Ni kwamba Tundu Lissu alifanya makosa kugombea ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano "BATILI," kwa hiyo Ubunge wa Lissu mpaka sasa ni "BATILI!"
2. Kwamba, hata mchakato huu wa kuandika Katiba Mpya ni "BATILI" kwa kuwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imetungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano" BATILI,"
3. Kwamba, Tundu Lissu amechangia kutunga Sheria "BATILI" za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa Bunge nalo ni "BATILI,"
4. Kwamba CHADEMA nacho ni chama "BATILI" kwa kuwa kimeundwa kwa Mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ambayo imetungwa na Bunge "BATILI" la Muungano,
5. Kwamba, shughuli zote za kisiasa za Tundu Lissu hazina uhalali wowote wa Kisheria kwa kuwa zimefanywa kwa kufuata Sheria za Muungano "BATILI,"
6. Kama Lissu ana vyeti vya Shule za Tanzania navyo ni "BATILI" kwa kuwa vimetolewa na Serikali "BATILI,"
7. Kama Tundu Lissu amezaliwa baada ya Muungano na kupewa Cheti cha Kuzaliwa ahesabu kuwa ni "BATILI" mpaka sasa,
8. Kesi zote alizoshinda Tundu Lissu mahakamani ajue kwamba ni "UBATILI" mtupu maana" MUUNGANO HUU NI BATILI," kwa hiyo hata mahakama za Muungano ni "BATILI,"
9. Kama Tundu Lissu ameoa baada ya Muungano ajue kuwa ameumia, ni ndoa "BATILI" hiyo!!!
10..................
Hongera sana Tundu Lissu kwa Hotuba Murua...............Ila usiendelee kuwepo kwenye BUNGE hilo "BATILI" kwa kuwa limeundwa na Sheria "BATILI!!!" Tafadhali sana, I am not joking, this time around!
Huna tofauti kimawazo na wale Wenyeviti wa Bunge Maalum la Katiba wanao wakilisha waliowengi , hasa kwa mawazo yako 1. hadi 10..... Poor Points with a lot of words.
Buchanan,
Kumbuka Nyerere pia aliwahi kuwa mjumbe wa baraza la kutunga sheria wakati wa mkoloni, sheria ambazo zilikuwa "batili".
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hivi Muungano BATILI unaweza ukaunda Taasisi yoyote HALALI? Kama kuua Tanganyika hakukuwa HALALI hata kuunda Taasisi yoyote ndani ya Muungano hakutakuwa HALALI, labda kama unatofautiana na "Mwanasheria Nguli!"
Sidhani kama hili ni sahihi; Nyerere hakuwahi kupinga na kusema kuwa sheria zilizotungwa na mkoloni zilikuwa batili; na wala hakusema kuwa baraza la kutunga sheria lilikuwa haramu vile vile. Kuna tofauti ya msingi ya hoja ya Nyerere na watu wanaosema kuwa Muungano ni haramu lakini wakati huo huo wanakubali madaraka waliyonayo yanayotokana na Muungano huo. Mtu hawezi kusema ndoa ni haramu halafu wakati huo huo akataka wagawane mapato ya ndoa!
Wakuu,
Haina shaka kwamba Hotuba ya Tundu Lissu imevuta hisia za washabiki wengi wa "Serikali 3/Nchi 3!" Pia nichukue nafasi hii kumpongeza Mheshimiwa huyo kwa kuwasilisha maoni ya wachache na kuchambua Sheria akienda sambamba na historia ya Muungano wetu tangu kuundwa kwake mpaka leo.Mwanasheria huyo nguli, kama baadhi wanavyomwita ameenda mbali sana, bila kuuma maneno akidai kwamba Muungano wetu wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika na iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hauna uhalali wowote wa kisheria kwa kuwa haukuridhiwa na Baraza la Wawakilishi, hata kama uliridhiwa na Bunge la Tanganyika tu!
Amedai pia kwamba kwa sasa tufute Sikukuu ya Muungano wetu na kuanzisha "Siku ya Shirikisho!"Kwa hoja hizo za Lissu mimi sina ubavu wa kuzipinga kwa kuwa ametaja na vifungu vya kisheria vya wakati huo, tukubali tu kwamba Muungano HAUNA UHALALI WOWOTE WA KISHERIA!
Hata hivyo, Tundu Lissu alifikiri kwamba hoja hiyo inamu-implicate tu Nyerere ambaye amemtaja mara nyingi kwamba mambo mengi ameyafanya kwa AMRI YA RAIS. Mambo hayo ni kamba vile:
1. Jina la Nchi,
2. Kuiua Tanganyika,
3. Nembo ya Taifa, nk.
Kama Muungano hauna uhalali wowote maana yake nini?
1. Ni kwamba Tundu Lissu alifanya makosa kugombea ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano "BATILI," kwa hiyo Ubunge wa Lissu mpaka sasa ni "BATILI!"
2. Kwamba, hata mchakato huu wa kuandika Katiba Mpya ni "BATILI" kwa kuwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba imetungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano" BATILI,"
3. Kwamba, Tundu Lissu amechangia kutunga Sheria "BATILI" za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa Bunge nalo ni "BATILI,"
4. Kwamba CHADEMA nacho ni chama "BATILI" kwa kuwa kimeundwa kwa Mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa ambayo imetungwa na Bunge "BATILI" la Muungano,
5. Kwamba, shughuli zote za kisiasa za Tundu Lissu hazina uhalali wowote wa Kisheria kwa kuwa zimefanywa kwa kufuata Sheria za Muungano "BATILI,"
6. Kama Lissu ana vyeti vya Shule za Tanzania navyo ni "BATILI" kwa kuwa vimetolewa na Serikali "BATILI,"
7. Kama Tundu Lissu amezaliwa baada ya Muungano na kupewa Cheti cha Kuzaliwa ahesabu kuwa ni "BATILI" mpaka sasa,
8. Kesi zote alizoshinda Tundu Lissu mahakamani ajue kwamba ni "UBATILI" mtupu maana" MUUNGANO HUU NI BATILI," kwa hiyo hata mahakama za Muungano ni "BATILI,"
9. Kama Tundu Lissu ameoa baada ya Muungano ajue kuwa ameumia, ni ndoa "BATILI" hiyo!!!
10..................
Hongera sana Tundu Lissu kwa Hotuba Murua...............Ila usiendelee kuwepo kwenye BUNGE hilo "BATILI" kwa kuwa limeundwa na Sheria "BATILI!!!" Tafadhali sana, I am not joking, this time around!
Hao chadema wanaosema muungano ni batili kwa sababu hakupata ridhaa ya wananchi naona kabisaa wamechanyikiwa ebu na mimi niwaulize. Je wajua kuunzishwa kwa vyama vingi nchi hakuwa ridhaa ya wananchi(batili) kwa kuwa asilimia kubwa hawakutaka vyama vingi?
Mto maada ulikua wapi kutupa nondo kama hizo za lissu?
leo hii nyie watetezi wa s2 mmeanza kutapatapa mnataka mtuyumbishe?
hakika hiyo dhambi yenu ya s2 isiyo na mashiko itawatafuna mpaka s3 zitakapo simama
Mkuu mimi niko pamoja na Mh Tundu Lissu, kwamba Muungano ni HARAMU! Sasa "dhambi" yangu iko wapi?
Mkuu na wewe kwa maoni ya Tundu Lissu inawezekana umesoma na kupata vyeti visivyo halali, ndio maoni ya "Mwanasheria nguli" sio mimi!!