Mtu Kwao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 394
- 720
Wana MMU Salaam
Miaka ya karibuni kumeibuka tabia fulani hivi ya kufanya uanaume uwe mgumu Sana. Yani Kuna vitu ambavyo baadhi wanadai mwanaume Atakiwi kuvifanya lakini kwa uhalisia ni vitu vya kawaida.
Mfano:
Nawasilisha
Miaka ya karibuni kumeibuka tabia fulani hivi ya kufanya uanaume uwe mgumu Sana. Yani Kuna vitu ambavyo baadhi wanadai mwanaume Atakiwi kuvifanya lakini kwa uhalisia ni vitu vya kawaida.
Mfano:
- Mwanaume ukimtembelea mwanaume mwenzako ambae anaumwa et utakiwi kumwambia neno pole ukimwambia basi tayari we si mwanaume.
- Mwanaume utakiwi kumtakia usiku mwema mwanaume mwenzako.
- Mwanaume hutakiwi kujua siku yako ya kuzaliwa.
- Mwanaume asie mpiga mke wake huyo si mwanaume
Nawasilisha