Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naongezea hapo.Code za kiume/kihuni:
Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,
Mushy codes/ Gay Codes:
Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.
Choose your destiny😂😂😂
Moja nimeisahau namuitaga sista angu "Damu yangu"Naongezea hapo.
RAFIKI 👉🏾 Wauchungu😂 (Kuna jamaa mmoja R.I.P alikuwa rafiki wa demu wangu, alipenda sana kuniita hivyo enzi za skuli, nikawa nashangaa sana yani)
Sahihi mkuuUshkaji upo kwenye vitendo sio kwenye maneno
Jamaa alikuwa ananambia dah mwanangu unanijali😂😂Mikausho fulani hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume kumtumia sms mwanaume mwenzie mambooWana MMU Salam...
Miaka ya karibuni kumeibuka tabia fulani hivi ya kufanya uanaume uwe mgumu Sana. Yani Kuna vitu ambavyo baadhi wanadai mwanaume Atakiwi kuvifanya lakini kwa uhalisia ni vitu vya kawaida.
Mfano...
Ni mengi sana emu na wewe ongezea mambo ambayo yamefanya uanaume uwe complicated na haya maana yoyote
- Mwanaume ukimtembelea mwanaume mwenzako ambae anaumwa et utakiwi kumwambia neno pole ukimwambia basi tayari we si mwanaume.
- Mwanaume utakiwi kumtakia usiku mwema mwanaume mwenzako.
- Mwanaume hutakiwi kujua siku yako ya kuzaliwa.
- Mwanaume asie mpiga mke wake huyo si mwanaume
Nawasilisha
Of course it isn'tWana MMU Salam...

Hapo kupga mwanamke nakupinga....hawa viumbe wanakeraa...lazma kuna muda ale hata banzi mbili ili ajue mipaka yake...si anakubetulia kimdomo hadi majiran wanaskia afu nimkaushie tuCode za kiume.
Pole = "we boya kaza, hakikisha haufi kizembe.
Usiku mwema = "oya, baadae!"
Siku ya kuzaliwa = hakuna kujipost kiboya. Siku ya kuzaliwa inamaanisha unakikaribia kifo. Pambana kiume
Kupiga mwanamke = huo ni udhaifu na sio uanaume!
My nigga, ukifika a point ya kupigana na mwanamke, bora umuache tu. Maana kitu kikubwa mwanaume anachohitaji kwa mwanamke ni heshima. Sasa mkifika point ya kubetuliana mdomo ina maana mwanamke hakuheshim tena. Either kosa litakua kwako au kwake. So hata ukimpiga, tayari ashakua na dharau na umempoteza.Hapo kupga mwanamke nakupinga....hawa viumbe wanakeraa...lazma kuna muda ale hata banzi mbili ili ajue mipaka yake...si anakubetulia kimdomo hadi majiran wanaskia afu nimkaushie tu
Hiyo c inakuwa gradual...ni action ya siku moja tu afu unamind biz zako....kuna muda wanatakiwa wakumbushwe kwa vitendo ....na akishakumbushwa mostly ananarud kweny mstar wenyew na kuonyesha ile heshima...some times kuna muda wana act kama watoto...sasa ukiendelea kulea ujinga atatakupanda kichwanMy nigga, ukifika a point ya kupigana na mwanamke, bora umuache tu. Maana kitu kikubwa mwanaume anachohitaji kwa mwanamke ni heshima. Sasa mkifika point ya kubetuliana mdomo ina maana mwanamke hakuheshim tena. Either kosa litakua kwako au kwake. So hata ukimpiga, tayari ashakua na dharau na umempoteza.
Ukiweza kumcontrol mwanamke wako hauez kumpiga makofi. Ukishasema neno tu, anafyata na kutulia.
Umetisha Mwamba!Code za kiume/kihuni:
Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,
Mushy codes/ Gay Codes:
Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.
Choose your destiny😂😂😂
Mwanaume unatumiaje neno nyoko??Code za kiume/kihuni:
Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,
Mushy codes/ Gay Codes:
Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.
Choose your destiny[emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa kila siku una log off [emoji2]Mwanaume hutakiwi kumuuliza mwanaume mwenzio "haujambo?"
Nalog off Z
😂😂Hakuna neno silipend mtu aniambie jomoni khaCode za kiume/kihuni:
Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,
Mushy codes/ Gay Codes:
Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.
Choose your destiny😂😂😂
Neno la kishostito hilo😂😂Hakuna neno silipend mtu aniambie jomoni kha
😂Ila hapana hta Kwa. Sms silipendiNeno la kishostito hilo
Usiku wa manane huu lzm tulog off hahahahahaWe jamaa kila siku una log off [emoji2]