Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

Mwanaume Kuchagua mafuta ya kupaka huo nao ni umama
Mafuta yyte sisi tunapaka ata petrol tukikosa ya dukani
 
Ni kwel hii kitu ina ukakasi sana.Kuna brother angu mmoja kanizid umeri mbali mbali mbali sana mtoto wa baba angu mkubwa alikua ananiletea hiz pigo nikawa simwelewi..nikakata mawasiliano..baada ya muda siku akanitumia text I mic u e bwana eee japo nilikua namheshim kama brother ila siku hiyo nikajikaza nikamwambia kaka mimi najiskia vibaya sana kuambiwa neno hili na mwanaume mwenzangu ..nahis ni kama nimetukanwa ...bas akaleta blah blah pale ..nikamtonya brother angu first born wetu kuhusu hili suala...akanambia kaa nae mbali sana tena kata mazoea..hakutaka kuwa muwaz kwann kasema hivyo..ila baadae nikaja gundua ndugu yetu yule sio riziki..yan bwabwa...
Tatizo hilo mkuu usipende sana kujenga mazoea na watu wa aina hiyo izo vocal ni bora akanambia demu kuliko mwanaume mwenzangu yaan ni mwiko unapaswa kumrekebisha kaka yako maana huko ndo ushoga unakoanziaga.
 
Ni yeye ndio alianza kunizoea..na nikaja confirm kuwa tayar jamaa ni shoga sio kwamba ndio anakoelekea...
 
Wanaume ni kupeana vyeo vya kikamanda tu.Chief,Mkuu,Tajiri,Digala ,Mwamba,Engineer,Dokta ,Poti.Leo unaamka unapewa cheo hiki ikifika jioni unapewa kingine mimi mpaka sasa nimepewa cheo cha uafisa mipango.Sms imeingia niambie Afisa mipango na mimi nimejibu niambie Tajiri.Ijapokua mifukoni teeee.
 
Back
Top Bottom