Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

[emoji23][emoji23]Hakuna neno silipend mtu aniambie jomoni kha
Big problem I see today is lots of women complaining men aren’t manly enough, which I agree with, whilst also being blind to the fact that even if they could get a masculine man, they would fail to be the woman he wants and needs and thus struggle to hold onto him. Is quite sad.
 
Utakiwi ata kumuuliza mwanaume mwenzako za siku ...
 
Mwanaume kumwambia mwanaume mwenzake kuwa nimekumisi. ..👈
 
MWANAUME HUTAKIWI KUFANYA YAFUATAYO

KUTUMIA
EMOJI

KUBLOCK MTU

KUWEKA STATUS WHATSAP

KUWA NA DEMU MMOJA

UKIOMBWA NAMBA YA DEMU KAMA UNAYO USISEME HAUNA


SIKU ZOTE UKO UPANDE WA WANA BROS BEFORE HOES


MWANAUME HUTAKIWI KULA NDIZI ZA KUIVA

LAZIMA KTK MAONGEZI UTUMIE MATUSI

LAZIMA UWE SHABIKI WA MPIRA

UKIGONGA NI RUKSA KUMPASIA MWANA NAMBA NA YEYE AGONGE


LAZIMA UWE MUONGO KWA WANAWAKE


HUTAKIWI KUJIELEZA SANA

HUTAKIWI KUWA NA BODA BODA WAKO

NI MARUFUKU KUPENDA KULA CHIPS YAI
We jamaa naona umegomesha sida ambazo hata wewe unazo
 
Kuna mwingine hapa, kila muda ananipigia simu na kuniuliza nafanya nini, mara anaomba tupige story[emoji15]!

Hajawahi maliza siku bila kupiga mara tatu, au sms za "Nambie" Sio ndugu hata, yuko mkoani! Inakera kinouma! [emoji34]
Dogo una ushoga mwingi, jitathmini.
 
Sina hizo shida hizo kid
Hivi kwanini watu wengi wanaopinga vitu fulani au kufanya vitu fulani mara nyingi huwa wako kinyume na wanachokisema hadharani?
Kwa kuogopa judgment ya jamii utakuta watu wengi wanapretend ili kufurahisha wengine na kuogopa kuonekana wako kinyume na mtazamo wa wengi lakini nyuma ya pazia ukweli wanaujua wenyewe.

Ndio maana mimi siku zote nasemaga usiamni watu sababu watu wengi au wote ni wanafiki, au naongopa mkuu?
 
Sina hizo shida hizo kid
Well mkuu seems like ni ngumu kukimbia uhalisia wako wa ndani.
mtumia emoji.png
mtumia emoji 2.png
mtumia emoji 8.png
mtumiaji emoji evidence 7.png
mtumiaji emoji.png
 
  • Kicheko
Reactions: Cyb
Code za kiume/kihuni:

Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,

Mushy codes/ Gay Codes:

Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.

Choose your destiny[emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahii kabisa chief[emoji4][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Code za kiume/kihuni:

Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,

Mushy codes/ Gay Codes:

Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.

Choose your destiny[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha sa unamwambiaje mwanaume mwenzako usikumwema asee[emoji23][emoji23][emoji23] tena kwa txt!????

Labda mnaongea insue ya muhim af baadae ndo umalizie hvyo na kusepa

Me ata kama tulikuwa tunaongea huwa namaliza kimya kimya utashangaa nimekata simu au nikiamka vizur namaliza kwa kusema "oyah basi fresh" au "POA".
 
Back
Top Bottom