Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

Code za kiume/kihuni:

Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,

Mushy codes/ Gay Codes:

Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.

Choose your destiny[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Code za kiume/kihuni:

Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,

Mushy codes/ Gay Codes:

Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.

Choose your destiny😂😂😂
Salamu; Mambo, niambie my

😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Kizazi sana.
Screenshot_20220721-155129.jpg
 
Code za kiume/kihuni:

Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,

Mushy codes/ Gay Codes:

Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.

Choose your destiny[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti my wangu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
My nigga, ukifika a point ya kupigana na mwanamke, bora umuache tu. Maana kitu kikubwa mwanaume anachohitaji kwa mwanamke ni heshima. Sasa mkifika point ya kubetuliana mdomo ina maana mwanamke hakuheshim tena. Either kosa litakua kwako au kwake. So hata ukimpiga, tayari ashakua na dharau na umempoteza.
Ukiweza kumcontrol mwanamke wako hauez kumpiga makofi. Ukishasema neno tu, anafyata na kutulia.
Ukiona mwanamke anakubetulia mdomo jua huyo hakupendi. Ukimpenda mtu huwezifanya hivyo asilani.
 
Code za kiume/kihuni:

Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,

Mushy codes/ Gay Codes:

Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.

Choose your destiny[emoji23][emoji23][emoji23]
i choose shalox aka shalom
 
Kuna mwingine hapa, kila muda ananipigia simu na kuniuliza nafanya nini, mara anaomba tupige story[emoji15]!

Hajawahi maliza siku bila kupiga mara tatu, au sms za "Nambie" Sio ndugu hata, yuko mkoani! Inakera kinouma! [emoji34]
 
Kuna mdau alitaka kunipatia kibatani nitumie baada ya simu yangu kuibiwa, vile kunikabidhi tu, nikamtamkia "Asante" Akanizaba kibao na simu akaichukua
 
MWANAUME HUTAKIWI KUFANYA YAFUATAYO

KUTUMIA
EMOJI

KUBLOCK MTU

KUWEKA STATUS WHATSAP

KUWA NA DEMU MMOJA

UKIOMBWA NAMBA YA DEMU KAMA UNAYO USISEME HAUNA

SIKU ZOTE UKO UPANDE WA WANA BROS BEFORE HOES

MWANAUME HUTAKIWI KULA NDIZI ZA KUIVA

LAZIMA KTK MAONGEZI UTUMIE MATUSI

LAZIMA UWE SHABIKI WA MPIRA

UKIGONGA NI RUKSA KUMPASIA MWANA NAMBA NA YEYE AGONGE

LAZIMA UWE MUONGO KWA WANAWAKE

HUTAKIWI KUJIELEZA SANA

HUTAKIWI KUWA NA BODA BODA WAKO

NI MARUFUKU KUPENDA KULA CHIPS YAI
 
Back
Top Bottom