Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

Jinsi uanaume unavyofanywa kuwa complicated siku hizi!

Kumwambia mwanaume mwenzio usiku mwema iyo hapana mkuu!! Eh! Apo haiwezi make. Mwanaume unamalizaga na "kesho" au "mida mida" au ukiona niaje unaweza sema "haina ile"

Mwanaume kutembezea mroro bakora mbona ndo yenyewe. Wife anafaa apewe kipigo cha mti wa muhogo mpaka pili pili iwe tomato sosi.

Kuongezea mada, mwanaume hafai kupenda mpaka ajielewi....yani anapenda mpaka hata hana time na machizi, mara aoshe vyombo home, mara wife ndo anamuambia waende out na ni wapi waende....iyo hapana tambua.
 
Madogo mbatuangusha! Yaani mnashindwa mambo madogo ya kiume, je makubwa mtaweza?
 
Mwanaume inabidi kukaa alone na kutafakari yanayokusibu kama mimi hapo pichani.
Screenshot_20200404-043848.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220721-155129.jpg
    Screenshot_20220721-155129.jpg
    36.3 KB · Views: 5
Ni mambo ya kawaida tu ila sasa wanaume wa siku hizi tunajishtukia sana,na kujishtukia ni dalili ya kutojiamini..sasa Kuna tatizo gani kumtakia mwanaume mwenzio usiku mwema!!?..yaani mtu hujiamini halafu unajiita mwanaume...!hakuna baya kumwambia "pole" mwanaume mwenzio,ni ujingaujinga tu wa kibongobongo
 
Kumwambia mwanaume mwenzio usiku mwema iyo hapana mkuu!! Eh! Apo haiwezi make. Mwanaume unamalizaga na "kesho" au "mida mida" au ukiona niaje unaweza sema "haina ile"

Mwanaume kutembezea mroro bakora mbona ndo yenyewe. Wife anafaa apewe kipigo cha mti wa muhogo mpaka pili pili iwe tomato sosi.

Kuongezea mada, mwanaume hafai kupenda mpaka ajielewi....yani anapenda mpaka hata hana time na machizi, mara aoshe vyombo home, mara wife ndo anamuambia waende out na ni wapi waende....iyo hapana tambua.
Ebu tufafanulie ubaya unakuwa wapi kumwambia mwanaume mwenzio "usiku mwema"
Yaani ubaya wake ni nini..?
 
Hahahh au unatumiwa text ya mambo na mwanaume mwenzako si umama huo.
Ni kwel hii kitu ina ukakasi sana.Kuna brother angu mmoja kanizid umeri mbali mbali mbali sana mtoto wa baba angu mkubwa alikua ananiletea hiz pigo nikawa simwelewi..nikakata mawasiliano..baada ya muda siku akanitumia text I mic u e bwana eee japo nilikua namheshim kama brother ila siku hiyo nikajikaza nikamwambia kaka mimi najiskia vibaya sana kuambiwa neno hili na mwanaume mwenzangu ..nahis ni kama nimetukanwa ...bas akaleta blah blah pale ..nikamtonya brother angu first born wetu kuhusu hili suala...akanambia kaa nae mbali sana tena kata mazoea..hakutaka kuwa muwaz kwann kasema hivyo..ila baadae nikaja gundua ndugu yetu yule sio riziki..yan bwabwa...
 
Ebu tufafanulie ubaya unakuwa wapi kumwambia mwanaume mwenzio "usiku mwema"
Yaani ubaya wake ni nini..?
Haiji mkuu...sio mbaya kuisema lakini pia sio poa kuisema yani. Izo ni vitu za kuambia mbususu kwenye hali ya kuzipanga kabla ya kuzitumbua... na ukishazitumbua hapana ziambia maswala ya usiku mwema tena.
 
Code za kiume/kihuni:

Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,

Mushy codes/ Gay Codes:

Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.

Choose your destiny😂😂😂
Ha haaa
 
Mengine ni mtu na mtu

Nshauguza mshikaji wangu tulkuw ghetto mwaka wa kwanza mpaka anapona ni kama 4 days hoi hoi lakin hata pole sikumpa ni nahakikisha anakula kila kitu kipo dawa anakunywa safi tu hadi akapona

[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fala sana we jamaa
 
MWANAUME HUTAKIWI KUFANYA YAFUATAYO

KUTUMIA
EMOJI

KUBLOCK MTU

KUWEKA STATUS WHATSAP

KUWA NA DEMU MMOJA

UKIOMBWA NAMBA YA DEMU KAMA UNAYO USISEME HAUNA

SIKU ZOTE UKO UPANDE WA WANA BROS BEFORE HOES

MWANAUME HUTAKIWI KULA NDIZI ZA KUIVA

LAZIMA KTK MAONGEZI UTUMIE MATUSI

LAZIMA UWE SHABIKI WA MPIRA

UKIGONGA NI RUKSA KUMPASIA MWANA NAMBA NA YEYE AGONGE

LAZIMA UWE MUONGO KWA WANAWAKE

HUTAKIWI KUJIELEZA SANA

HUTAKIWI KUWA NA BODA BODA WAKO

NI MARUFUKU KUPENDA KULA CHIPS YAI
😄😄😄Kwa Nini hamtakiwi kula ndizi mbivu jamani?za kupika zinaruhusiwa?......
 
Code za kiume/kihuni:

Rafiki - Mwanangu, Homboi, kichaa, msela, buda.
Salamu - Oi!, Niaje?, Kama kawa?, Freshii?
Kuagana - Mida Mida, Najikataa, Nacheza, Hivii!
Vivumishi - Kmmmk walai, msng, choko, Nyokow,

Mushy codes/ Gay Codes:

Rafiki - Best, Udugu, Twini, Shooh, mai wangu.
Salamu - Mambo, Mzima, Za wewe, Upoo.
Kuagana - Bye, Ntakumiso, Usiondoke
Vivumishi - Jomoni, Wacha we, ilooh, Zurii, Bayaa,akuu.

Choose your destiny😂😂😂
🤣🤣🤣
 
Mtoamada Unataka kusemaje?? Mwanaume kwa mwanaume sioooo!!
 
Back
Top Bottom