KYIV, Ukraine (AP) — A Ukrainian drone attack has destroyed more than 40 Russian planes deep in Russia’s territory, Ukraine’s Security Service said on Sunday, while Moscow pounded Ukraine with missiles and drones just hours before a new round of direct peace talks in Istanbul.Uwezi shida Vita kwa uwongo uwongo tu.na nyie mmeacha kufanya kazi mnakimbia jukwaani kuleta habari ya uwongo bila hata kujiongeza.Ndege 40 🤣🤣🤣
Hata wewe unaweza sema nina maghorofa 80 kariakoo, ila ushahidi hakuna lakini mdomo umesemaKYIV, Ukraine (AP) — A Ukrainian drone attack has destroyed more than 40 Russian planes deep in Russia’s territory, Ukraine’s Security Service said on Sunday, while Moscow pounded Ukraine with missiles and drones just hours before a new round of direct peace talks in Istanbul.
A military official, who spoke with The Associated Press on condition of anonymity to disclose operational details, said the far-reaching attack took more than a year and a half to execute and was personally supervised by Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy. By SAMYA KULLAB-Associated Press
Piga za usoni hilo lijamaa linadhani lina uraia wa Ukraine👿Tatizo mnaendeshewa akili na wengine, Russia ilikua under attack lakini kiwango cha damage ndicho kimekua exaggerated (Kikubwa zaidi kuliko uhalisia) ndio point yangu na hizo ni taarifa kutoka kwenye Western satellite images.
Angalia hata kwenye channels za Western military analysts ndo utajua kichwani wewe ni mweupe kuliko chaki.
hauziamini media zote kubwa, AP, BBC, CNN zote zime-confirm hilo tukio 😀Hata wewe unaweza sema nina maghorofa 80 kariakoo, ila ushahidi hakuna lakini mdomo umesema
Kwa nini??Hilo shambulizi lina athari👌 ndogo saana kwetu warusi👿
Confirm ni kwamba tukio limetokea ila hakuna anayeconfirm kuhusu ndege 40.hauziamini media zote kubwa, AP, BBC, CNN zote zime-confirm hilo tukio 😀
Kwanza unatakiwa kuelewa toka vita vimeanza hakuna media ya magharibi inayoisapoti Urusi. Propaganda zimekuwa nyingi sana sasa ili upate ukweli basi ushahidi ni kitu muhimuhauziamini media zote kubwa, AP, BBC, CNN zote zime-confirm hilo tukio 😀
Mengi hapa ni matahila tu, ndege zilipoharibiwa kabisa ni kama saba tu, ila hata kusoma hayajui kazi kuleta ubishi usio na hoja.Ivi Ndege 40 mnazijua au mnazisikia tu.yani hadi BBC nao wanalipoti upumbavu.
Hoja hupingwa kwa hoja rafiki, wengine matusi hatukubarikiwa, ukipata hoja zenye mashiko niko hapa.Asante dada Rhobi na hongera kwa kujaaliwa matako makubwa akili kisoda utaendelea kuzalia apo nyumbani mpaka uzeeni Kila mtoto na baba yake
Hapa kwa mtogole.Unaripoti kutoka kijiwe gani mkuu😄
Yani ndege 40 mnachukulia poa ehee.mjiongeze mkiletewa habari🤣🤣
Mbona hakuna media yoyote iliyokanusha hiyo habari?Kwanza unatakiwa kuelewa toka vita vimeanza hakuna media ya magharibi inayoisapoti Urusi. Propaganda zimekuwa nyingi sana sasa ili upate ukweli basi ushahidi ni kitu muhimu
Baadae atalia Putin hataki simamisha vitaAfu Zelensky kasema kuwa ofisi ya hilo shambulizi ilikuwa jirani na makao makuu ya FSB kwa muda wa miezi 18
Hizo si Media za magharibi ambazo kutwa ni propaganda dhidi ya urusi,hasa BBC.. yaani BBC likitokea jambo baya kwa urusi hiyo habari ni 24/7hauziamini media zote kubwa, AP, BBC, CNN zote zime-confirm hilo tukio 😀
🤣🤣🤣🤣 Sasa media imeingiaje hapo kwenye kukanusha habari.media toka lini ikawa kazi yake kukanusha habari, kazi ya media ni kuripoti habari.Mbona hakuna media yoyote iliyokanusha hiyo habari?
kama unavyopinga wewe, kwamba si tukio la kweli, na media zote zilizohabarisha unasema ni fabrication/exaggerated news, we unaziamini media gani?🤣🤣🤣🤣 Sasa media imeingiaje hapo kwenye kukanusha habari.media toka lini ikawa kazi yake kukanusha habari, kazi ya media ni kuripoti habari.