Hakika unajua kuwasimanga watu Kisa tu mmepishana naye mawazo!!! Mbeleni wewe utakuja kuwa Gaidi!!Asante dada Rhobi na hongera kwa kujaaliwa matako makubwa akili kisoda utaendelea kuzalia apo nyumbani mpaka uzeeni Kila mtoto na baba yake
Hana tofauti sana na weweHakika unajua kuwasimanga watu Kisa tu mmepishana naye mawazo!!! Mbeleni wewe utakuja kuwa Gaidi!!
Labda Aljazeera au PressTv ungeamini!!BBC wajinga tu maana chombo kikubwa kinaripoti taarifa bila kuwa na ushahidi.
Acha apigwe tu maana hakuna namna!!!Supa-pawa kapigwa sehemu mbaya
Nieleze juu ya Hizo Image kama UlivyoelewaHakuna ndege arobaini zilizo haribiwa based on videos and Satellite images ni kama kumi tu hivi, katika AirBases zote, Ushahidi huu hapa na hizi Images nimezitoa kwenye Telegram channels za Ukrainians wenyewe.
View attachment 3353177
View attachment 3353178
Kumbe hana tofauti na wewe basi itoshe tu niwape pole!!!Hana tofauti sana na wewe
Kwanini huwa mnahemka mkuu,tuulizane ukweli.?Kumbe hana tofauti na wewe basi itoshe tu niwape pole!!!
Ukweli gani?Kwanini huwa mnahemka mkuu,tuulizane ukweli.?
Yaani ukweli huwa mnakasirika na kugeuka sasa mimi natafuta ukweli wa ile mihemko hasa husababishwa na niniUkweli gani?
Ndege 40, sites zilizoshambuliwa ziko 6Nieleze juu ya Hizo Image kama Ulivyoelewa
YAANI WALIPANGA SHAMBULIO MOJA ZAIDI YA MWAKA?HAO WAKO SIRIAZ KWELI NA HII VITA...NGOJA TUSUBIRI MAJIBU YATAKUWAJE!Habari zilizopita ziliripoti shambulizi. Habari hii inahusu jinsi shambulizi lilivyopangwa kwa muda muda mrefu na kufanyika.
Habari kamili;
Kwa mujibu wa vyanzo ndani ya kitengo cha SBU vilivyozungumza na idhaa ya Ukraine ya BBC, maelezo ya ziada jinsi kitengo hicho maalum cha Ukraine kilivyopanga na kutekeleza shambulizi la kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi za jeshi la angani la Urusi.
Kulingana na SBU, kutokana na shambulizi hilo kwenye kambi hizo nne za jeshi la angani, ndege muhumi 41 za kivita za Urusi ziliharibiwa.
Mamlaka nchini Urusi zimethibitisha kwamba ndege zisizo na rubani zilishambulia maeneo ambayo kambi mbili za jeshi la angani zipo, ila hawajazungumzia hasara iliyopatikana hasa kwenye ndege za kivita.
Vyanzo ndani ya SBU vimesema kwamba , operehsni iliyotekelezwa mapema leo, ilipangwa kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja unusu, na kusimamiwa kibinafsi na Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky na kutekelezwa na mkuu wa usalama nchini Ukraine Vasyl Malyuk na wahudumu wa majukumu maalum.
Aidha vyanzo hivyo ndani ya SBU vimethibitisha kwamba ndege zisizo na rubani kutoka Ukraine zilikuwa zikipaa angani kutoka kwa malori ambayo yaliendeshwa hadi nje ya kambi hizo za kijeshi.
“SBU ilituma ndege hizo zisizo na rubani za aina ya FPV hadi Urusi, na kisha baadae kutuma nyumba za mbao ambazo zinaweza kusafirhishwa,” ripoti hiyo ilisema.”
Baadaye, zilipowasili katika himaya ya Urusi, ndege hizo zilifichwa chini ya paa za nyumba hizo ambazo zilikuwa zimewekwa juu ya Malori.
Na wakati mwafaka ulipofika, paa za nyumba hizi zilifunguliwa kwa mbali na ndege hizo kulenga silaha za kurusha makombora za Urusi.”
Wakati huo huo, vyanzo vingine vya SBU vimedai kwamba “walioshiriki katika shambulizi hilo maalum ya kijeshi wamekuwa Urus kwa muda mrefu sana.”
Idhaa ya Ukraine ya BBC pia imepata picha za wakati ambapo ndege hizo zilipotekeleza shambulizi hilo.
Kwa misingi ya hali ya vita hivi, BBC haiwezi kuthibitisha uzito wa taarifa kutoka kwa maafisa wa serikali ya mataifa hayo mawili.
Chanzo: BBC Swahili
Aina hiyo ya shambulio wenyewe wanaiita "Long Range Deep Asset Attack". Yaani mfano Tz inapigana vita na Kenya, kisha Kenya anapiga kambi kubwa ya ndege za kijeshi ya Tz iliyoko huko mkoani Mbeya.Habari zilizopita ziliripoti shambulizi. Habari hii inahusu jinsi shambulizi lilivyopangwa kwa muda muda mrefu na kufanyika.
Habari kamili;
Kwa mujibu wa vyanzo ndani ya kitengo cha SBU vilivyozungumza na idhaa ya Ukraine ya BBC, maelezo ya ziada jinsi kitengo hicho maalum cha Ukraine kilivyopanga na kutekeleza shambulizi la kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi za jeshi la angani la Urusi.
Kulingana na SBU, kutokana na shambulizi hilo kwenye kambi hizo nne za jeshi la angani, ndege muhumi 41 za kivita za Urusi ziliharibiwa.
Mamlaka nchini Urusi zimethibitisha kwamba ndege zisizo na rubani zilishambulia maeneo ambayo kambi mbili za jeshi la angani zipo, ila hawajazungumzia hasara iliyopatikana hasa kwenye ndege za kivita.
Vyanzo ndani ya SBU vimesema kwamba , operehsni iliyotekelezwa mapema leo, ilipangwa kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja unusu, na kusimamiwa kibinafsi na Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky na kutekelezwa na mkuu wa usalama nchini Ukraine Vasyl Malyuk na wahudumu wa majukumu maalum.
Aidha vyanzo hivyo ndani ya SBU vimethibitisha kwamba ndege zisizo na rubani kutoka Ukraine zilikuwa zikipaa angani kutoka kwa malori ambayo yaliendeshwa hadi nje ya kambi hizo za kijeshi.
“SBU ilituma ndege hizo zisizo na rubani za aina ya FPV hadi Urusi, na kisha baadae kutuma nyumba za mbao ambazo zinaweza kusafirhishwa,” ripoti hiyo ilisema.”
Baadaye, zilipowasili katika himaya ya Urusi, ndege hizo zilifichwa chini ya paa za nyumba hizo ambazo zilikuwa zimewekwa juu ya Malori.
Na wakati mwafaka ulipofika, paa za nyumba hizi zilifunguliwa kwa mbali na ndege hizo kulenga silaha za kurusha makombora za Urusi.”
Wakati huo huo, vyanzo vingine vya SBU vimedai kwamba “walioshiriki katika shambulizi hilo maalum ya kijeshi wamekuwa Urus kwa muda mrefu sana.”
Idhaa ya Ukraine ya BBC pia imepata picha za wakati ambapo ndege hizo zilipotekeleza shambulizi hilo.
Kwa misingi ya hali ya vita hivi, BBC haiwezi kuthibitisha uzito wa taarifa kutoka kwa maafisa wa serikali ya mataifa hayo mawili.
Chanzo: BBC Swahili
Muda si tatizo maana wanaweza wakapanga na wakafaniiwa kupiga. Shida Inakuja inapochukua miaka 3 Russia kuhangaika na Ukraine 🇺🇦YAANI WALIPANGA SHAMBULIO MOJA ZAIDI YA MWAKA?HAO WAKO SIRIAZ KWELI NA HII VITA...NGOJA TUSUBIRI MAJIBU YATAKUWAJE!
Hutaki Russia apigwe sasa kapigwa sijui unasemaje sasa?Yani ndege 40 mnachukulia poa ehee.mjiongeze mkiletewa habari🤣🤣
Wewe macho yako unafanyia kazi gani, zi paste kwenye AI yoyote itakuelezea, kama umeshindwa kuzielewa.Nieleze juu ya Hizo Image kama Ulivyoelewa
Una stress na maisha aisee Kuna mambo yako hayako sawa kati ya kifedha ama kimahusiano. Lete bank statement tuone Kama utakuwa na 50M ama kadi ya gari lako na nyumba hata uwe nayo , sijui Kama una kimojawapo. Yaani hasira zinaendana na umasikini na umeongea lugha chafu mno sijui ndivyo ulivofundishwa kwenu, yaani wazazi wako walimu na walezi wako ndio matunda yao hayo kweli ,Kuna mahala Kuna nyufa sio shida kabisa. Jamaa akakujibu where to get evidence about those shit to prove your arguments Ila umekuja na mdomo ambao mie hata sijawahi uusikia tokea nizaliwe aisee ama ndio Koo yenu ilivyo, Kuna Kila watu na DNA zao mkuu.Asante dada Rhobi na hongera kwa kujaaliwa matako makubwa akili kisoda utaendelea kuzalia apo nyumbani mpaka uzeeni Kila mtoto na baba yake