Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,858
- 3,393
Umenisaidia Bro.✌️✌️✌️Una stress na maisha aisee Kuna mambo yako hayako sawa kati ya kifedha ama kimahusiano. Lete bank statement tuone Kama utakuwa na 50M ama kadi ya gari lako na nyumba hata uwe nayo , sijui Kama una kimojawapo. Yaani hasira zinaendana na umasikini na umeongea lugha chafu mno sijui ndivyo ulivofundishwa kwenu, yaani wazazi wako walimu na walezi wako ndio matunda yao hayo kweli ,Kuna mahala Kuna nyufa sio shida kabisa. Jamaa akakujibu where to get evidence about those shit to prove your arguments Ila umekuja na mdomo ambao mie hata sijawahi uusikia tokea nizaliwe aisee ama ndio Koo yenu ilivyo, Kuna Kila watu na DNA zao mkuu.
Siku kisago kikija kukushuka Dunia itaomba poo, Tuko hapa huu upuuzi ndo walifanya Hamas kikawaramba, wamebomoa madaraja wakalipua na Bombers, Ukraine itajuta soon tu.YAANI WALIPANGA SHAMBULIO MOJA ZAIDI YA MWAKA?HAO WAKO SIRIAZ KWELI NA HII VITA...NGOJA TUSUBIRI MAJIBU YATAKUWAJE!
Kwa Salamaleko karibu wote wana midomo michafu kama tundu la choo!!!Una stress na maisha aisee Kuna mambo yako hayako sawa kati ya kifedha ama kimahusiano. Lete bank statement tuone Kama utakuwa na 50M ama kadi ya gari lako na nyumba hata uwe nayo , sijui Kama una kimojawapo. Yaani hasira zinaendana na umasikini na umeongea lugha chafu mno sijui ndivyo ulivofundishwa kwenu, yaani wazazi wako walimu na walezi wako ndio matunda yao hayo kweli ,Kuna mahala Kuna nyufa sio shida kabisa. Jamaa akakujibu where to get evidence about those shit to prove your arguments Ila umekuja na mdomo ambao mie hata sijawahi uusikia tokea nizaliwe aisee ama ndio Koo yenu ilivyo, Kuna Kila watu na DNA zao mkuu.
Hakuna kitu kama hicho Ukraine wako vizuri kwa defensive watanyooka tu!!!Siku kisago kikija kukushuka Dunia itaomba poo, Tuko hapa huu upuuzi ndo walifanya Hamas kikawaramba, wamebomoa madaraja wakalipua na Bombers, Ukraine itajuta soon tu.
🤣🤣🤣🤣 Sasa media imeingiaje hapo kwenye kukanusha habari.media toka lini ikawa kazi yake kukanusha habari, kazi ya media ni kuripoti habariMbona hakuna media yoyote iliyokanusha hiyo habari?
Kesi bila ushahidi sio kesi au umesahau kinachofunga mtu ni ushahidi.wewe unasema 40, mimi nasema 3.ili kujua nani mkweli basi weww toa ushahidi wa kuonyesha umelipua ndege 40.tofauti na hapo utakuwa unaongea kufurahisha gengekama unavyopinga wewe, kwamba si tukio la kweli, na media zote zilizohabarisha unasema ni fabrication/exaggerated news, we unaziamini media gani?
Mimi sina shida na shambulio hilo wala ushahidi wa hilo shambulio. Shida niionayo mimi ni majibu ama mrejesho kutoka kwa PUT IN baada ya muda wa majigambo haya kupita.
Vilio vitasikika Ulaya yote wakiililia Ukraine.
Bodo sijaelewa unachobishia, na wewe leta ushahidi kuwahilo shambulio halijatokea, kwa nini una doubt kila habari ya ushindi mdogo wa 🇺🇦🤣🤣🤣🤣 Sasa media imeingiaje hapo kwenye kukanusha habari.media toka lini ikawa kazi yake kukanusha habari, kazi ya media ni kuripoti habari
Kesi bila ushahidi sio kesi au umesahau kinachofunga mtu ni ushahidi.wewe unasema 40, mimi nasema 3.ili kujua nani mkweli basi weww toa ushahidi wa kuonyesha umelipua ndege 40.tofauti na hapo utakuwa unaongea kufurahisha genge
Kwa kifupi jamaa huyo hataki kuamini kuwa Russia kapigwa maana yeye anajua ni Supapawa!!!Bodo sijaelewa unachobishia, na wewe leta ushahidi kuwahilo shambulio halijatokea
Hakuna anayebisha kuwa haijatokea bali kiwango cha ndege ndo sio kweli.WARUSI wamesema ndege 7 ndo zimepata majanga ila 3 zinaweza kurudi kufanya kazi ivi karibuni. Sasa habari ya ndege 40 wao wanaitoa wapi, kama wanaushahidi waweke nasisi tuone izo ndege 40Bodo sijaelewa unachobishia, na wewe leta ushahidi kuwahilo shambulio halijatokea, kwa nini una doubt kila habari ya ushindi mdogo wa 🇺🇦
KYIV, Ukraine (AP) — A Ukrainian drone attack has destroyed more than 40 Russian planes deep in Russia’s territory, Ukraine’s Security Service said on Sunday, while Moscow pounded Ukraine with missiles and drones just hours before a new round of direct peace talks in Istanbul.
A military official, who spoke with The Associated Press on condition of anonymity to disclose operational details, said the far-reaching attack took more than a year and a half to execute and was personally supervised by Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy. By SAMYA KULLAB-Associated Press
Hakuna anayebisha kuwa drone zimepiga base bali kiwango cha uwaribifu kimekuzwa sana. Mara nyingi tunaminishwa kuwa Warusi wamekuwa watu wa kupata hasara ila Ukraine wao awapati hasara, sasa swali la kujiuliza mwenye kupata hasara anazidi kuchukua miji ila yule asiyepata hasara anazidi kurudi nyumaKwa kifupi jamaa huyo hataki kuamini kuwa Russia kapigwa maana yeye anajua ni Supapawa!!!
Sikiliza hotuba ya Rais wa Ukraine Zelenskyy kataja idadi wewe ni nani hata upinge habari iliyotolewa na Amiri Jeshi Mkuu? Au wewe unataka kusikia Ukraine imepigwa na Russia? Kaa kwa kutulia Russia ana kibarua kisumu sana kwa Ukraine!!!Hakuna anayebisha kuwa drone zimepiga base bali kiwango cha uwaribifu kimekuzwa sana. Mara nyingi tunaminishwa kuwa Warusi wamekuwa watu wa kupata hasara ila Ukraine wao awapati hasara, sasa swali la kujiuliza mwenye kupata hasara anazidi kuchukua miji ila yule asiyepata hasara anazidi kurudi nyuma
Kwani tuko mahakamani?🤣🤣🤣🤣 Sasa media imeingiaje hapo kwenye kukanusha habari.media toka lini ikawa kazi yake kukanusha habari, kazi ya media ni kuripoti habari
Kesi bila ushahidi sio kesi au umesahau kinachofunga mtu ni ushahidi.wewe unasema 40, mimi nasema 3.ili kujua nani mkweli basi weww toa ushahidi wa kuonyesha umelipua ndege 40.tofauti na hapo utakuwa unaongea kufurahisha genge
Idadi ya ndege zilizolipuliwa zinakusaidia nini? Media zote zimeripoti idadi ni 40, kama una doubt wasiliana na hizo media.Hakuna anayebisha kuwa drone zimepiga base bali kiwango cha uwaribifu kimekuzwa sana. Mara nyingi tunaminishwa kuwa Warusi wamekuwa watu wa kupata hasara ila Ukraine wao awapati hasara, sasa swali la kujiuliza mwenye kupata hasara anazidi kuchukua miji ila yule asiyepata hasara anazidi kurudi nyuma
Ni kweli shambulio limetokea. Lakini, udhibitisho wa ndege arobaini kuharibiwa kiasi cha kutotumika haujapatikana bado.
Ngoja nimsaidie mimi nimpe clip ya Rais wa Ukraine 🇺🇦 aisikilize lakini kwa kuwa hajitambui ataikataa!!!! Sikiliza clip zote mbili utaelewaIdadi ya ndege zilizolipuliwa zinakusaidia nini? Media zote zimeripoti idadi ni 40, kama una doubt wasiliana na hizo media.
ndege muhumi 41 za kivita za Urusi ziliharibiwa.
Hakuna ndege arobaini zilizo haribiwa based on videos and Satellite images ni kama kumi tu hivi
KYIV, Ukraine (AP) — A Ukrainian drone attack has destroyed more than 40 Russian planes deep in Russia’s territory
Hiyo achana nayo ina ubishi wa kuzaliwa na haijui kitu.Ukraine 'destroyed at least 13 planes' during attacks
An official from Ukraine's national security and defence council official has given an update from yesterday's audacious attacks on Russian air bases.
Yesterday, Ukraine said they had hit planes deep in Russian territory during an operation planned over 18 months.
Andriy Kovalenko has just said at least 13 jets were destroyed, with other planes damaged.
Monday 2 June 2025 18:26, UK
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com