Jinsi unavyowatendea familia na wapendwa wako na namna unavyofanya kazi vinategemea na malezi uliyopitia

the power

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
407
Reaction score
799
Hili halina ubishi, kama umelelewa kwenye familia ya baba anayejali familia, mama anayejali familia, Familia iiliyo na hofu ya Mungu, Familia yenye wazazi hard workers , wanaoamini kwenye kufanya kazi kwa bidii ili kuendelea kuna uwezekanao mkubwa na wewe ukaiga mwenendo huo ingawa kuna outlayers wachache.

Kuna malezi ya kifamilia, baba kivyake, mama kivyake, kila mtu msanii, watoto wanajilea wenyewe , baba ni mbabe na mtu hasiye jali, au mama hamuheshimu kabisa baba na yeye anakuwa baba mwingine, uwezekano wa mtoto kuja kuwa kama baba au mama kwa familia yake ni mkubwa sana

Nafahamu mbali ya malezi ya familia kushape behaviour au personality ya mtoto atakavyokuwa kuna other confounders zinazoweza kuathiri katika ukuaji wake kama elimu, tamaduni za nje, familia za nje, marafiki, na other social and physical environment. Ila kaa ujue mchango wa familia ni mkubwa sana tena sana

Kwa hiyo wewe kama mzazi tafakuli na rudi nyuma angalia malezi yako na angalia jinsi unavyotreat familia yako utakubaliana na mimi. Sisi wengine tulilelewa kwenye mazingira hatarishi sana na haikuwa choice yetu ila si sababu ya wewe kumistreat mke wako, watoto wako. Jaribu kuwabadilisha kwani na wao watakuwa kama wewe husipofanya hivyo. Mabadiliko yanaanza sasa.

Suala la kufanya kazi kwa bidii, kujituma, kuwa proactive ni suala la kimalezi pia. Wewe angalia familia zilizoendelea, familia za wazazi wasomi, wazazi wachapa kazi, na angalia familia zetu za kivivu, utagundua watoto na wajukuu wanakuwa hivyohivyo. Najua madaktari mtasema ni genetic inheritance , mimi nakataa (genes contribute very little kwenye behaviour na personality zaidi ya appearance ya mtoto).

Watoto wanaangalia wazazi na kucopy, matendo ya wazazi yanawacondition kubehave that way. Wazazi indirectly au directly wanauwezo wa kuhypnotize future behaviour za watoto wao na potential personality traits zao.

Take home message is wazazi wana role kubwa kushape future behaviour na personality ya watoto wao. Kaa chini ukijua "we are the product of our decisions", thus our children''s behaviour and personalities are the product of our current personality and behaviour>
 
Moderator Aksante kwa kushape title yangu, nilitafsiri kizungu kwa kiswahili wewe umeiweka kwa Kiswahili sanifu. Ifike mahali basi wanajamii forums tuwape maua yao mamoderators wanapopatia. Naona wanajamii tukiwalalamikia tu
 
Well said
Some of the way parent raise there children is the current manifest of them when they reach adulthood
 
Back
Top Bottom