Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

Uzi mzuri sana kwa watu wa nguo

Kudos to comrade!
 
Wakikujibu vizuri hili nitag

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
ANGALIZO;
Sio kila muuzaji wa Alibaba ni mwaminifu. Kuna wachina wahuni pia ingawa mara chache kwahiyo kabla ya kuagiza jiridhishe sana pia ujiandae kisaikolojia endapo lolote litatokea. Kwa ushauri wangu kwa mara ya kwanza agiza kidogo usiingie mzima mzima. Hata wenyewe wachina wanalijua hilo. Kwa mfano badala ya kuagiza kilo 1000 agiza hata 200 kwanza. Au kama una haraka sana nunua sehemu tofauti hata tatu.
 
Mi nachukua kwa dada mmoja yeye yupo arusha huwa anauza mtumba mzuri sana kwa dar sehemu nyingi ni magumashi japo wapo pia wanaouza mtumba mzuri inagemea na nguo unayoitaka
 
Mi nachukua kwa dada mmoja yeye yupo arusha huwa anauza mtumba mzuri sana kwa dar sehemu nyingi ni magumashi japo wapo pia wanaouza mtumba mzuri inagemea na nguo unayoitaka
Anakufanyia kwa bei gani belo moja la jeans za kike za marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…