View attachment 2971260
They’re small in number, but with deep roots that they are unwilling to leave behind.
www.aljazeera.com
Halafu Gaza inawakristo bado japo sasa hivi idadi yao ni ndogo baada ya wengi kukimbia huko nyuma kwa sababu ya attacks za Israel. Lakini waarabu wenyewe kwa wenyewe walikuwa wanaishi in piece kati ya Jews, Muslims and Christian (Palestine kulikuwa na dini zote japo raia walikuwa waarabu) kabla ya hawa Jews wa Europe kwenda huko na kuanzisha migogoro.
Haya walipiga hilo kanisa Gaza lenye miaka elfu kadhaa na kuuwa waumini wa kikristo waliokuwa wamejificha humo ndani. Hilo kanisa nalo utasema lilikuwa limeficha wapiganaji.
You don’t even understand Palestine au hata kuelewa sio waarabu wote waislamu kama unavyofikiri.