let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Wakristo (minority) Gaza na huo ukanda kwa jumla uwa unaelezewa na Progandalists kwa msisimko mkubwa sana kuliko hata wakati wakristo wakiwa majority.View attachment 2971260
![]()
Under Israeli attack: Who are the Christians of Gaza?
They’re small in number, but with deep roots that they are unwilling to leave behind.www.aljazeera.com
Halafu Gaza inawakristo bado japo sasa hivi idadi yao ni ndogo baada ya wengi kukimbia huko nyuma kwa sababu ya attacks za Israel. Lakini waarabu wenyewe kwa wenyewe walikuwa wanaishi in piece kati ya Jews, Muslims and Christian (Palestine kulikuwa na dini zote japo raia walikuwa waarabu) kabla ya hawa Jews wa Europe kwenda huko na kuanzisha migogoro.
Haya walipiga hilo kanisa Gaza lenye miaka elfu kadhaa na kuuwa waumini wa kikristo waliokuwa wamejificha humo ndani. Hilo kanisa nalo utasema lilikuwa limeficha wapiganaji.
You don’t even understand Palestine au hata kuelewa sio waarabu wote waislamu kama unavyofikiri.
Wakristo kuwepo hapo si Hisani ya Waarabu Waislamu,wapo hapo kwasababu ni kwao na waliwai kuwa majority hapo kabla ya uislamu.
Hadi karne ya 3/5 huo ukanda Majority walikuwa ni Wakristo,kwanini sasa kubaki Minorty ndiyo liwe jambo la kuchomekwa chomekwa katika mijadala?.
Utasikia mtu" Gaza kuna wakristo pia" kuna wakristo So what?.
Wakati wakiwa majority haikuwa Story how come leo wamebaki minority ndiyo iwe story ya kutafutia sympathy?
unfortunately hamuwataji Wakristo hao kwasababu ya humanity,mnawataja taja kwa dhumni la kuvuta uungwaji upande Hamas.
Ukristo mashariki ya kati unakwenda into extinction baada tu ya uislamu kuibuka.
Carlo Slim(muarabu Mkristo) na mababu zake walikimbilia Mexico hata kabla ya Vugu vugu la Uzayuni halijazaliwa,na wewe unasema wakristo huo ukanda wanakimbia mashambulizi ya Israel.
Ni Israel hipi hiyo iliyokuwa inashambulia Gaza wakati ilikuwa bado haijawa taifa rasmi?.una twist mambo hadi unaboa.
Umeanza kwa kuongopa kuwa Marekani wamefanya uchunguzi na kugundua Corpses mingi haikuwa na Silaha.
sasa umeibuka na uwongo mwingine tena wakristo kukimbia Mashariki ya kati kwasababu ya mashabulizi ya Israel.
Shauri yako.