Jinsi Video ambazo ni fake zilivyotumika kipropaganda kuelezea Shambulio la Iran kwa Israel

View attachment 2971260

Halafu Gaza inawakristo bado japo sasa hivi idadi yao ni ndogo baada ya wengi kukimbia huko nyuma kwa sababu ya attacks za Israel. Lakini waarabu wenyewe kwa wenyewe walikuwa wanaishi in piece kati ya Jews, Muslims and Christian (Palestine kulikuwa na dini zote japo raia walikuwa waarabu) kabla ya hawa Jews wa Europe kwenda huko na kuanzisha migogoro.

Haya walipiga hilo kanisa Gaza lenye miaka elfu kadhaa na kuuwa waumini wa kikristo waliokuwa wamejificha humo ndani. Hilo kanisa nalo utasema lilikuwa limeficha wapiganaji.

You don’t even understand Palestine au hata kuelewa sio waarabu wote waislamu kama unavyofikiri.
Wakristo (minority) Gaza na huo ukanda kwa jumla uwa unaelezewa na Progandalists kwa msisimko mkubwa sana kuliko hata wakati wakristo wakiwa majority.

Wakristo kuwepo hapo si Hisani ya Waarabu Waislamu,wapo hapo kwasababu ni kwao na waliwai kuwa majority hapo kabla ya uislamu.

Hadi karne ya 3/5 huo ukanda Majority walikuwa ni Wakristo,kwanini sasa kubaki Minorty ndiyo liwe jambo la kuchomekwa chomekwa katika mijadala?.

Utasikia mtu" Gaza kuna wakristo pia" kuna wakristo So what?.
Wakati wakiwa majority haikuwa Story how come leo wamebaki minority ndiyo iwe story ya kutafutia sympathy?

unfortunately hamuwataji Wakristo hao kwasababu ya humanity,mnawataja taja kwa dhumni la kuvuta uungwaji upande Hamas.

Ukristo mashariki ya kati unakwenda into extinction baada tu ya uislamu kuibuka.
Carlo Slim(muarabu Mkristo) na mababu zake walikimbilia Mexico hata kabla ya Vugu vugu la Uzayuni halijazaliwa,na wewe unasema wakristo huo ukanda wanakimbia mashambulizi ya Israel.
Ni Israel hipi hiyo iliyokuwa inashambulia Gaza wakati ilikuwa bado haijawa taifa rasmi?.una twist mambo hadi unaboa.

Umeanza kwa kuongopa kuwa Marekani wamefanya uchunguzi na kugundua Corpses mingi haikuwa na Silaha.
sasa umeibuka na uwongo mwingine tena wakristo kukimbia Mashariki ya kati kwasababu ya mashabulizi ya Israel.

Shauri yako.
 
Una matatizo wewe sio bure nimekuwekea BBC video inaonyesha bomu lililopigwa juzi na kuuwa watoto kumi na tano kwenye banker. BBC wakielezea kama atrocities wanazofanya huko hao zionists.

US wenyewe wanasema sababu ya kutaka kuwakatia msaada hilo kundi na mafunzo ya kijeshi ni ‘gross violation’ of human rights. Wewe bado unabisha sio kweli.

Umekuja hapa unasema wanaouwawa wana silaha, nimekuwekea images na story ya kupiga kanisa na video ya juzi tu kupiga banker. Sasa unadhani hizo corpses zilipaa angani, au watu walikuta maiti za watoto na wamama waliokuwa wamejificha

Kuna credible western sources luluki ambazo ni (pro-Israel) wanaelezs hiyo unit ya IDF wamekuwa wakifanya attacks ambazo ni violation of human rights since the war began.

Huko kwenye historia ya hilo eneo na religious story, sanasana uelewa wako unaishia kwenye King James Bible sidhani hata kama unajua historia ya uandishi wake, let alone archeological evidence ya dini au hata how those gospels were gathered and selected to form the first bible.

Sina huo muda wa kubishana utoto, badala ya kujadili vitu objectively at humane perspective unaleta mambo ya hisia za dini. Mambo ambayo nina uhakika tukienda huko ntakuacha unajiuliza kama huyo mungu yupo kwa kutumia kitabu chochote unachotaka; only that I don’t entertain those debates kwa kuheshimu imani za wengine.

👋
 
Gone those days Great thinker ndiyo walikuwa wanaanzisha mada na kuchangia wakati sisi vilaza tulibaki wasomaji tu.

Jf ilikuwa imejaa maarifa wakati huo.

DONDOO KATIKA SWALA ZIMA LA SANCTION DHIDI YA The Netzah Yehuda battalion.
Zingatia kuwa Sanctions hii sio kwa IDF nzima bali Battalion.

*The U.S. State Department started investigating the Netzah Yehuda battalion in late 2022 after its soldiers were involved in several incidents of violence against Palestinian civilians, Haaretz reported at the time.
*
The sanctions will ban the battalion and its members from receiving any kind of U.S. military assistance or training, the sources said.

*A U.S. official said Blinken's determination about the Netzah Yehuda unit is BASED ON INCIDENTS THAT OCCURRED BEFORE THE OCT. 7 HAMAS ATTACK ON ISRAEL and all took place in the West Bank.

Mimi nimekuhoji tu,dai la kuwa Us ilifanya uchunguzi na kugundua Corpses hawakuwa na silaha umelitoa wapi?.
Mbona halipo kwenye ripoti rasmi ila kwenye maelezo yako lipo?.

Hujajibu.hujajibu si kwasababu uelewi swali,hujajibu kwasababu ulidanganya.

Sanctions hii haiuasini na kilichokea baada ya Oct 7.
Nb, unataka kusema nini kuhusu KJV?.
NAE UNATAKA KUMLISHA MANENO, AMA?
 
Anyone can be a great thinker, however to be one a person thoughts needs to stay away from emotions and preconceived ideas which might influences their final judgement and biasness. .

Sasa soma tena mada uone how many times nimekueleza ni unit ya IDF iliyo chini ya zionists ndio imekuwa accused of gross misconduct. Ukuweza kuona hilo kwa sababu unasoma posts with pre-determined conclusion.

Kwanini tena nirudie kuelezea kitu ambacho nishaeleza tayari wakati wewe unafanya bias-reading.

Once you cloud your mind with biasness you can never argue objectively, unabishana ata na maneno ya US wametumia ‘gross violation of human rights’ go to UN charter and see what that phrase means.

Vyombo mbali mbali vya western media vimeongelea atrocities za hiyo unit Gaza baada ya US kusema inafikiria kutoa sanctions wewe bado unabisha.

I might be foolish but not foolish enough to entertain a denier of facts in any discussion, that will be just my waste of time.
 
Rafiki,mimi sijadili atrocities za battalion hiyo inayotaka pigwa sanctions,mimi ninajadili vitu viwili hapa.
*Statement Blinken
*maelezo yako ya hawali kuwa kuna maiti hazikukutwa na silaha.
Maiti kutokukutwa na silaha ni ingizo lako katika Statement Blinken.
Katika hiyo Statement hakuna hicho kitu.
Mimi sijadili Atrocities, atrocities zilizofanywa na hiyo battalion ni Us wenyewe wamezigundua mimi siwezi bisha.
Uenda ulikuwa na maana njema tu,ila kuongeza maelezo kwenye Statement ndiyo kumenifanya nihoji.
Itoshe kufikia hapa.
 
Nenda kasikilize tena vizuri ametumia neno ‘gross violations of human rights’ kama sababu ya kufikiria kuwapa sanctions.

Sasa uwa awatumi tu maneno yana implications zingine ambazo wewe inabidi ujiongeze wanachomaanisha.

Hiyo link hapo juu ☝️ni definition ya US state department on what they mean by ‘gross violation of international human rights’, mimi nimekupa mpaka evidence ya bomu walilopiga week aijapita Gaza kama BBC news inavyosisitiza atrocities za hiyo unit na kuuwa watoto 15 bado unabisha.

Personal mjadala huu naukatia hapa let’s agree to disagree.
 
Gross violation.
Kuteka.
Kutesa.
Kuua etc.
Inamaana kwamba uelewi kabisa ninachohoji?
Kwenye gross violation kuna kipengele cha maiti kutokukutwa na silaha?.
Evu nukuu sentence yoyote katika Statement ya Blinken ambayo ina maelezo kama yako then utakuwa umemaliza.
 
Back
Top Bottom