Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Lilikuwa igizoSina maneno mengi, video inajitosheleza
View: https://www.youtube.com/watch?v=P3iuOjJ0yyY&ab_channel=DWNews
Imeishambulia lakini hoja anayojaribu kuiweka ni kwamba Picha hizo zisitumike kama rejea.So Iran hakuishambulia Israel ?
We bado upo na Israel tu, Biden anafikiria kutoa sanction kwa jeshi lao baada ya kukuta maiti za mamią ya watu (wengi watoto na wanawake) wasio na silaha.
Jamaa wamefanya massacre huko Gaza. Ata ndani ya Israel popularity ya Netanyahu imeshuka sana wananchi walio wengi wanataka leo kesho aondoke awataki ata kumsikia.
Asilimia kubwa ya waisraeli awafurahishwi na kinachoendelea Gaza, nyie waafrika ndio viherehere.
Maiti akutwe na silaha anaifanyia nini?.
Askari akifa Silaha yake haiwi Najisi,itachukuliwa mpiganaji mwingine.
Na hakuna massacre Gaza, propagandists ndiyo mnasema hivyo.
Imepapaswa TU Israel Hali IPO hivyo,Iran tuwape maua yaoMtahangaika sana kipigo kimewauma sana
Kinachokanushwa ni uongo. Wewe unapenda habari za uongo!!??Imepapaswa TU Israel Hali IPO hivyo,Iran tuwape maua yao
US-Israel: Netanyahu vows to reject any US sanctions on army units - BBC News
Reports say the US is planning to cut military aid to one Israeli unit over alleged rights violations.www.bbc.co.uk
Taarifa ipo kwenye international media zote duniani Biden administration considers sanctions kwa kitengo cha jeshi la Israel.
Na huko Israel kwenyewe Netanyahu wananchi awamtaki kabisa wala awa-support huo ukatili wake January alikuwa na asilimia 15% inayo muunga mkono kwenye hiyo vita. Sasa hivi inaweza kuwa ata chini ya asilimia kumi.
Hao wa-Israel watakuwa wanawashangaa waafrica mnao-support kinachoendelea Gaza.
Sijakukoti kwasababu ya kupinga Sanction ya Us Over jeshi la Israel,nimekukoti kupinga madai yako ya maiti kutokutwa na Silaha.
Sijui ulikusudia kusema nini uliposema "Maiti hazikukutwa na Silaha".
Kigezo cha maiti ni lazima ikutwe na Silaha ndiyo Marehem awe muharifu umejitungia wewe tu, Us hawajasema ilo.
Hii mada naona imekosa wachangiaji... 😛
kumbe watu wote wa JF wapo maeneo yenye mvua!!??Mvua watu walikuwa mbali... Jamaa yupo makini sana.
Sijakukoti kwasababu ya kupinga Sanction ya Us Over jeshi la Israel,nimekukoti kupinga madai yako ya maiti kutokutwa na Silaha.
Sijui ulikusudia kusema nini uliposema "Maiti hazikukutwa na Silaha".
Kigezo cha maiti ni lazima ikutwe na Silaha ndiyo Marehem awe muharifu umejitungia wewe tu, Us hawajasema ilo.
Vita haina macho.View attachment 2971260
Under Israeli attack: Who are the Christians of Gaza?
They’re small in number, but with deep roots that they are unwilling to leave behind.www.aljazeera.com
Halafu Gaza inawakristo bado japo sasa hivi idadi yao ni ndogo baada ya wengi kukimbia huko nyuma kwa sababu ya attacks za Israel. Lakini waarabu wenyewe kwa wenyewe walikuwa wanaishi in piece kati ya Jews, Muslims and Christian (Palestine kulikuwa na dini zote japo raia walikuwa waarabu) kabla ya hawa Jews wa Europe kwenda huko na kuanzisha migogoro.
Haya walipiga hilo kanisa Gaza lenye miaka elfu kadhaa na kuuwa waumini wa kikristo waliokuwa wamejificha humo ndani. Hilo kanisa nalo utasema lilikuwa limeficha wapiganaji.
You don’t even understand Palestine au hata kuelewa sio waarabu wote waislamu kama unavyofikiri.
Kwa nini ni wakristo tu idadi yao iwe ndogo kwa sababu ya kukimbia mashambulizi ya Israel na hao wengine idadi yao iwe bado kubwa??Halafu Gaza inawakristo bado japo sasa hivi idadi yao ni ndogo baada ya wengi kukimbia huko nyuma kwa sababu ya attacks za Israel.
Wote wanakimbia waislamu zaidi ya wakristo sema population ya wakristo ni ndogo kwa ivyo wakitoka 2000 katika 3000 ni rahisi kuona upungufu.Kwa nini ni wakristo tu idadi yao iwe ndogo kwa sababu ya kukimbia mashambulizi ya Israel na hao wengine idadi yao iwe bado kubwa??
Wakristo ni waoga ama wao ndiyo walengwa wa mashambulizi ya Israel??